heheeh hapa kweli tunajiachia, ma stress yote kwishnei, hata kibuti cha husninyo hakinisumbui tena
Ubarikiwe Ashadii (source: Miss Judith ambae tangu aolewe haonekani, imekula kwetu)
I am Man-U because it is the best team of the world, I am T-P Mazembe because it is the best team of Africa and I am Yanga because it is the best team of Tanzania. Na atakae bisha hili atakua anaconfirm tu superiority ya team hizi 3!
Kipipi.... Hapo inaonesha wife alikua anafurahia kichapo! Lol
hahahahaaaaa..........anampenda mumewe na kipigo chake!!! dah....!!! mtu mzima kucharazwa , tena na mkanda kabisa?? aisee kuna watu wana miili!!!
Kipipi dear what are you saying?? lol... Hivi umeelewa mumewe alikua anampigia fimbo gani?? lol
Umeona lakini eeeh?? Kwamba mayowe ya mkewe ni walakini.....lol
Papaa.... Sidhani kama nimeelewa hii post aisee....lol... Naona batu ba ki-congo banafanya kazi....
hahahaha..... Habari yako Ritz?? Hebu nipe habari wapi wamegoma??
Kabisaaa!!! Mie taka sikiliza "Mamou na leliee" ya mutu ya siku mingi ikijulikana kama Franco....
Buwimbo zipo nyingi tu! Sisi twajua ipi ya shusha mapigo ya Bolingo! Papa AshaDii tutakuimbia...kaa mkao wa kula Papaa!