jamaa alikuwa mkali sana wa R & B,tunajiburudisha kidogo wakati tunasubiri wadau wa chaja,au?Ha ha ha ha ha hapana.....ila nina fanana naye ndio maana nimemuweka hapo juu.....
Joe Tomasi atafute chager ya Laptop kwa Tochi....huyo JOE THOMAS ni wewe mkuu?
ha ha hahahaaaa!Joe Tomasi atafute chager ya Laptop kwa Tochi....
yaa mimi ni wa Isanga mbeya mkuu,wale marapa wa isanga family ni vijana wetu mtaani walikua vizuri kipindi hichoha ha hahahaaaa!
mwangu wewe ni wa isanga?wale marapa nilikuwa nawakubali sana..
Hadi sasa bado anasumbua..........katoa track inayosindikiza album yake this month......inaitwa So i can have you back.........bonge la meseji bonge la nyimbo.......jamaa alikuwa mkali sana wa R & B,tunajiburudisha kidogo wakati tunasubiri wadau wa chaja,au?
dah safi sana,mimi pia nilikuwa mshabiki wao ingawa walikuwa wakorofi sana,nimeishi sana maeneo ya uzunguni hapo juu kidogo ya mbeya hotel,karibu na kina ADILI HISABATI,IBU,CHILE,BWIGANE...kama unawafahamu,nimeanza nao kikapu centre hapo!yaa mimi ni wa Isanga mbeya mkuu,wale marapa wa isanga family ni vijana wetu mtaani walikua vizuri kipindi hicho
duu inabidi niishushe fasta..Hadi sasa bado anasumbua..........katoa track inayosindikiza album yake this month......inaitwa So i can have you back.........bonge la meseji bonge la nyimbo.......
0625686309tupia namba yako nikutumie now whatsapp
yaa nawafahamu vizuri tuu hao Mkuu hao walikua wanasoma mbeya sec,Sangu na meta kipindi hicho Adili alikua anajua sana kikapu mara ya mwisho nilikutana nae Dar Isanga fujo zote ndio zilipozaliwa kwa mbeya kipindi hicho cha kina brigedia,Atu mwaijande na watata wengine kibao..,dah safi sana,mimi pia nilikuwa mshabiki wao ingawa walikuwa wakorofi sana,nimeishi sana maeneo ya uzunguni hapo juu kidogo ya mbeya hotel,karibu na kina ADILI HISABATI,IBU,CHILE,BWIGANE...kama unawafahamu,nimeanza nao kikapu centre hapo!
mbeya buana,i miss there a lot,ila siku hizi wamejaa mabishoo tu,yaa nawafahamu vizuri tuu hao Mkuu hao walikua wanasoma mbeya sec,Sangu na meta kipindi hicho Adili alikua anajua sana kikapu mara ya mwisho nilikutana nae Dar Isanga fujo zote ndio zilipozaliwa kwa mbeya kipindi hicho cha kina brigedia,Atu mwaijande na watata wengine kibao..,