CHAINS and TATOOS After Been A Star

REALITY

JF-Expert Member
Jul 2, 2014
4,313
1,850
Habari Wadau ,Wasanii Au Basically Celebrities Huwa Wanaweka Tatoos Na Kuvaa Chains Kama Sheria Hivi Mfano Diamond,ney,davido,prezo,jux And So So Ila Kabla Hawajawa Walikuwa Hawako Na Hivyo Vitu,does It Mean Kwenye Music Industry Kuna A Must Law Of Chains And Tatoos Kama Stage Ndo Uwe Superstar ?Maana Hii Ipo Dunia Nzima Na Kwanini Iwe Hivyo?Japo Nafahamu Tatoo Yoyote Inarelate Na 666 Kwenye Different Historical Documents
 
Sio kweli Wasanii wana Tattoos au chain
Anyways ni mtindo wa msanii kujipendezesha na kuonesha muonekano wake
 
Kuna wengine siku zote wako kawaida mfano Prof Jay

Hata Juma Nature,roma,kalah,wagosi And So Huoni Kuna Some Different Kwenye Maisha,kujulikana Na Utajiri Wao Ukilinganisha Na Hao Kama Prezo,davido ,wayne,diamond
 
Hivi hadi hizi tatoo za wamakonde zinahusiana na hiyo 666? Au ni hizo za kisasa?
 
Sio kweli Wasanii wana Tattoos au chain
Anyways ni mtindo wa msanii kujipendezesha na kuonesha muonekano wake

Kwani Muonekano Unahusiana Vipi Na Tatoo Na Chain?Na Usipo Weka Doesnt It Mean Muonekano Unakuwa Vipi
 
Hivi hadi hizi tatoo za wamakonde zinahusiana na hiyo 666? Au ni hizo za kisasa?

Tatoo Si Urembo Ni Picha Au Maandishi Yanayomaanisha Na Kulenga Kitu Flani Ukijuacho Wewe Na Kuwaonesha Jamii Au Kujiaminisha Binafsi
 
Hyo ni kama trend tu ya kuiga kwa wasanii wa sasa lakini sio wote ambao wanazo... ndo maana rihanna atakuwa nazo ila adelle hana, ukija hata kwa wacheza mpira siku hizi wanazo messi anayo ronaldo hana its just a matter of deciding... lifestyle tu ya mtu
 
Kwani Muonekano Unahusiana Vipi Na Tatoo Na Chain?Na Usipo Weka Doesnt It Mean Muonekano Unakuwa Vipi

Muonekano wa kawaida na wa tatoo ni tofaut na unamfanya msanii ajiongezee aina nyingin ya muonekano... Na usipoweka tattoo/chain muonekano unabak vilevile msanii tulivomzoea
 
Na hili suala la tatoos n chains lipo sana kwa wasanii wa miaka hii ya 2000's na 1990's ni wasanii wachache sana wa miakaya nyuma wameweka hizi tatoos
 
Hyo ni kama trend tu ya kuiga kwa wasanii wa sasa lakini sio wote ambao wanazo... ndo maana rihanna atakuwa nazo ila adelle hana, ukija hata kwa wacheza mpira siku hizi wanazo messi anayo ronaldo hana its just a matter of deciding... lifestyle tu ya mtu

Anayo Kama Unamaanisha Yule Christiano
 
Hakuna lingine ni uzuzu na ulimbukeni tu wa kuiga na kuigiza kila jambo linalofanywa na wanamuziki wa ng'ambo ambao kwa kweli wako mbali mno na maadili.Na kwa bahati mbaya wanamuziki wenye ngozi nyeusi ndio wanaoongoza kwa mambo hovyo duniani.Nampa hongera Profesa J na 'kujikubali' na kukataa uzuzu wa kubugia tamaduni za hovyo.
 
Muonekano wa kawaida na wa tatoo ni tofaut na unamfanya msanii ajiongezee aina nyingin ya muonekano... Na usipoweka tattoo/chain muonekano unabak vilevile msanii tulivomzoea

Huoni Kama Hapo Kuna Agenda Yakutransform Muonekano Wako Asilia Kuwa Mwingine Ilhali Kipaji Na Ujumbe Ni Uleule Doest It Mean?Viewers Ndo Hupenda Muonekano Au Yeye?
 
Naona hivyo vitu vinaendana na umaarufu. Msanii akishakuwa maarufu anaanza tatoo ba chain kubwa kubwa.
 
Uwe na uhakika unapofanya argument... au unamzungumzia cristiano ronaldo yupi!!!... cristiano wa madrid hana tatoo

Ni Kweli Hana Nafahamu Kwa Ajili Ya Mishe Zake Za Charity,ilikuwa Ni Sticker Kwenye Shingo Nimekumbuka ,artists Wengi Sana Very Famous Lazima Chains Au Tatoo
 
Naona hivyo vitu vinaendana na umaarufu. Msanii akishakuwa maarufu anaanza tatoo ba chain kubwa kubwa.

Kuna Kitu Nyuma Ya Pazia Why Akianza Kujulikana Afrika Au America Lazima Ajimark Tatoos Na Kuwa Na Chains Huoni Kama Its An Issue Relating To Stage And Stage
 
Hakuna lingine ni uzuzu na ulimbukeni tu wa kuiga na kuigiza kila jambo linalofanywa na wanamuziki wa ng'ambo ambao kwa kweli wako mbali mno na maadili.Na kwa bahati mbaya wanamuziki wenye ngozi nyeusi ndio wanaoongoza kwa mambo hovyo duniani.Nampa hongera Profesa J na 'kujikubali' na kukataa uzuzu wa kubugia tamaduni za hovyo.

Devil Mechanism Behind The Music Industry Hata Dmx Anajua Hili Na Kuongea Kimafumbo
 
Kuweka tattoo na chains Ni uamuzi na haina uhusiano wowote na conspiracy zenu za Freemasons. Wamarekani wengi sana ambao hata sio artists wana tattoos

Kwa wasanii kipato, fame na power vinavyozidi kuongezeka na uhitaji wa wao kujitofautisha na watu wa kawaida huongezeka na kujikuta wanajipambanua kwa style hiyo, ni hulka ya mwanadamu japo sio wote na tokana na tasnia yao ilivyo wanakua shaped na wasanii waliowakuta walifanya hivyo
 
Back
Top Bottom