Chain Of Command: Dkt. Mpango hajui mipaka yake

Tangu ateuliwe Kama Makamu wa Rais Dr. Mpango amekuwa akitoa kauli za Kiutendaji bila kujali Mipaka ya Majukumu yake.

Mara ya Kwanza alisikika akimuagiza Waziri wa Fedha akusanye Tilioni 2. Bila kujua kwamba Mamlaka hayo ni ya Rais kwenda kwa Waziri wa Fedha kisha Kamishna Mkuu TRA.

Pili, Tena kasikika akiwaagiza Wakuu wa Mikoa Masuala ya Kinidhamu bila kujua kwamba, Mamlaka ya uteuzi na maagizo ya Kinidhamu yako Ofisi ya Rais - Tamisemi.

Huyu Dr anasahau kuwa yeye ni reserve wa Rais endapo litatokea (Mungu aepushe mbali). Na kwamba Mamlaka yake ya Maagizo ya Kiutendaji yako kwenye Mazingira na Muungano.

Afundwe huyu.

Huu ni upotoshaji. Ukiachilia mbali majukumu ya kila siku ya portfolio yake, VP anatekeleza kazi yoyote anayotumwa na Rais kuifanya. Rais hahitaji kukutanganzia wewe kila anapomtuma VP wake kufanya kazi fulani.

Hajafanya violation of chain of command yoyote. VP anaingia wizara yoyote, idara yoyote, mkoa wowote. Yeye ni Naibu Rais; sio mchezaji wa akiba per se, kama unavyojaribu kutuaminisha. Jifunze upya organizational structure ya URT.
 
Kwa sababu tuko kwenye Mjadala, hebu tupe Chain of Command ya Utendaji wa VP kikatiba. Ukiachana na Majukumu ya Muungano na Mazingira.
 
Huyu kwa makusudi amepewa sauti ili iwepo balance ya kiuongozi.

Hawawezi wote wawili wakawa ni baridi, watashindwa mapema sana.

Na ndani ya vikao Rais atakuwa anawapa presha kubwa wasaidizi wake ili afidie ustaarabu anaounyesha akiwa mbele wa macho ya watu.
Kwa hiyo unachojaribu kusema, VP anatengenezewa nafasi ya utendaji mpya ndani ya Serikali ili na yeye awe sehemu ya Shughuli za Kila Siku, yaaani Rais kwenda kwa Makamu Then Kwa Waziri Mkuu, kwa Mwaziri....
ndicho unachojaribu kusema Mkuu, kwamba ukiachana na Majukumu yake ya Mazingira na Muungano, sasa kawa Sehemu ya Utendaji wa moja kwa moja wa Shughuli za Serikali?
 
Mwacheni VP afanye kazi kwa ukaribu na mama. Mnataka kumtenga mbali na mama ili iweje? Mnataka mama abaki peke yake ili alemewe kazi halafu mmsimange?
Mama usiwasikilize hawa, wanataka ujitenge kama kisiwa ili mambo yasipoenda vizuri wakusute. VP wako ni mtaalam wa uchumi, atakusaidia sana. Usiwasikilize hawa wapuuzi wa chadema.
 
Huyo mama inatakiwa alindwe sana. Nilishasema hapa kwamba, watu kwa mara ya kwanza wameshang'amua kuwa kumbe inawezekana makamu was raisi akawa raisi. Hatari ni kwamba kwa siri laweza undwa kundi ka makamu wa raising dhidi ya raisi.
Ukimsoma makamu wa raisi anapohutubia naye ni kama anatamani jukwaa lingekuwa lake, inawezekana ni mtazamo wangu wa kijinga. Hawa waroma kwa asiri wanatamani kuhodhi utawala wa nchi Mimi nawaogopa sana hawa maana wana asiri ya udikteta.
 
Mwacheni VP afanye kazi kwa ukaribu na mama. Mnataka kumtenga mbali na mama ili iweje? Mnataka mama abaki peke yake ili alemewe kazi halafu mmsimange?
Mama usiwasikilize hawa, wanataka ujitenge kama kisiwa ili mambo yasipoenda vizuri wakusute. VP wako ni mtaalam wa uchumi, atakusaidia sana. Usiwasikilize hawa wapuuzi wa chadema.
Asaidie kumshauri lakini sio kusimama hadharani na kutoa maagizo na maelekezo yanayopaswa kutolewa na Rais tena akiwa hai mwenye afya na yupo nchini. Mkuu unadhani Mamlaka ya Rais na Makamu wa Rais yako sawa? La hasha, Kikatiba VP hayuko kabisa kwenye Chain of Command ya Utendaji wa Kila Siku wa Serikali. Yeye kapewa Majukumu ya Kumsaidia Rais kwenye Mazingira na Muungano. Pia kumshauri President kwenye kutenda. labda kama tunahitaji kuibadili katiba na kumuongeza VP kwenye utendaji basi sawa, tubadili Katiba kwanza.
 
Ajikite kwenye mazingira na muungano, otherwise akumbushwe kuwa VP position hapa Tz ni more of a ceremonial position- ni nafasi ya kula bata kimyakimya.
Mama mwenyewe siku anahutubia alimpa hiyo kazi na kumbuka hata yeye alisema nitafanya kazi zangu na maagizo yoyote kwa Raisi nitakeleza. Mama alimwambia anataka amsaidie katika mambo ya uchumi kwa hiyo hana kosa lolote akipewa kazi hawezi kusema hii sio kazi yangu, kila Rais ananjia zake za kufanya kazi. Kusema hana mamlaka nao sio sawa maana hata waziri mkuu hana mamlaka na waziri yoyote au wateuliwa wengine lakini haifanyo kutofanya kazi jana tu Tanesco wakurugenzi kasema hawa sina mamlaka nao lakini kawapa maagizo.
 
Tangu ateuliwe Kama Makamu wa Rais Dr. Mpango amekuwa akitoa kauli za Kiutendaji bila kujali Mipaka ya Majukumu yake.

Mara ya Kwanza alisikika akimuagiza Waziri wa Fedha akusanye Tilioni 2. Bila kujua kwamba Mamlaka hayo ni ya Rais kwenda kwa Waziri wa Fedha kisha Kamishna Mkuu TRA.

Pili, Tena kasikika akiwaagiza Wakuu wa Mikoa Masuala ya Kinidhamu bila kujua kwamba, Mamlaka ya uteuzi na maagizo ya Kinidhamu yako Ofisi ya Rais - Tamisemi.

Huyu Dr anasahau kuwa yeye ni reserve wa Rais endapo litatokea (Mungu aepushe mbali). Na kwamba Mamlaka yake ya Maagizo ya Kiutendaji yako kwenye Mazingira na Muungano.

Afundwe huyu.
Mdogo mdogo ataelewa, hakuwai tegemea cheo Kama Cha Sasa , viongonzi huandaliwa,ila pia ni kipaji that's tumeona alichokifanya mh Makongoro wakati anaapishwa WATU wanashangaa na kuponda kwamba ni maigizo,ila ukweli Makongoro ni kiongozi na hakutakiwa kuwa pale maana anajua nini afanye wakati gani mda gani uliosahii, ukimfuatilia tangu Kipindi Cha kutia nia 2015, Kama ni mapungufu mengine basi ni yale tu ya kibinadam ,but yupo smart sana
 
Kwa Kumbukumbu Kawawa alikuwa Waziri Mkuu. Hata kama alivikwa cheo cha Makamu wa Pili wa Rais bado alikuwa na Authority kama Mkuu wa Shughuli za Utendaji Serikalini. Lakini Makamu wa Rais sidhani kama Chain of Command inampasa afanye hivyo anavyofanya.
Waziri mkuu hawajibiki kwa makamu wa Rais?
 
Kwa sababu tuko kwenye Mjadala, hebu tupe Chain of Command ya Utendaji wa VP kikatiba. Ukiachana na Majukumu ya Muungano na Mazingira.

Ulipaswa kuijenga na kuitetea hoja yako kwa kunukuu ibara za Katiba zinazobainisha majukumu ya Makamu wa Rais. Ilivyo sasa, hoja yako ni yatima, kwa sababu it’s totally unsupported!
 
Ulipaswa kuijenga na kuitetea hoja yako kwa kunukuu ibara za Katiba zinazobainisha majukumu ya Makamu wa Rais. Ilivyo sasa, hoja yako ni yatima, kwa sababu it’s totally unsupported!
Sasa wewe unaejua vifungu njoo na hivyo vifungu tuone Umahili wako Mkuu. Majukumu ya VP kwenye Muungano yako Mahsusi Kikatiba. Sasa wewe unaetaka kuhalalisha Maajukumu mengine kiutendaji njoo na Hivyo Vifungu
 
kabisa. Kuna Changamoto nyingi sana za Mazingira na Muungano. Ajikite kuhakikisha tunapata Mazingira Safi na Salama ya kuishi. Takataka ziondolewe, Muungano uimalike tuishi kidugu zaidi.
Naomba rais ateue malaika toka mbinguni japo Naye nyumbu watamnanga sanaaa😂😂
 
Tangu ateuliwe Kama Makamu wa Rais Dr. Mpango amekuwa akitoa kauli za Kiutendaji bila kujali Mipaka ya Majukumu yake.

Mara ya Kwanza alisikika akimuagiza Waziri wa Fedha akusanye Tilioni 2. Bila kujua kwamba Mamlaka hayo ni ya Rais kwenda kwa Waziri wa Fedha kisha Kamishna Mkuu TRA.

Pili, Tena kasikika akiwaagiza Wakuu wa Mikoa Masuala ya Kinidhamu bila kujua kwamba, Mamlaka ya uteuzi na maagizo ya Kinidhamu yako Ofisi ya Rais - Tamisemi.

Huyu Dr anasahau kuwa yeye ni reserve wa Rais endapo litatokea (Mungu aepushe mbali). Na kwamba Mamlaka yake ya Maagizo ya Kiutendaji yako kwenye Mazingira na Muungano.

Afundwe huyu.
Sifa Kubwa ya Watani zangu Waha ( kutoka Mkoani Kigoma ) ni Ushamba, Kiherehere, Ubishi, Ushirikina na kupenda Ukubwa ( Mamlaka ) ambayo hata hivyo huwa hawayawezi na kubakia Kulalama ( Kulalamika ) tu na Majungu kibao hivyo wala sijashangaa sana kulisikia hili.

Mwambieni Makamu wa Rais kuwa Yeye hapo Jukumu lake Kuu ni Kuzisimamia Wizara Mbili za Muungano na Mazingira ( Uchafu na Usafi ) tu ila ikitokea Siku Mama ( Rais ) Samia Suluhu Hassan hayupo nchini ndiyo Yeye hupewa tu ' Deiwaka ' ya Kikatiba kushikilia nchi na Mama akirejea anaendelea na Majukumu yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom