Nimenunua Mouse, imeandikwa Made in Chian, sijui kama wamemaanisha China lakini pia sijui kama ni China imetengeneza China kweli au Kariakoo. Ila inapiga kazi.
Nimenunua Mouse, imeandikwa Made in Chian, sijui kama wamemaanisha China lakini pia sijui kama ni China imetengeneza China kweli au Kariakoo. Ila inapiga kazi.View attachment 2745725