Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,840
Nimenunua Mouse, imeandikwa Made in Chian, sijui kama wamemaanisha China lakini pia sijui kama ni China imetengeneza China kweli au Kariakoo. Ila inapiga kazi.
Kweli wewe ni Analogia.😂Nimenunua Mouse, imeandikwa Made in Chian, sijui kama wamemaanisha China lakini pia sijui kama ni China imetengeneza China kweli au Kariakoo. Ila inapiga kazi.View attachment 2745725