chapati mbili na chai
Member
- Jun 1, 2026
- 82
- 148
- Thread starter
- #21
Watokea Zanzibar weye auYaelekea unapenda sana misosi weye maana hata jina lako hapo😆😆😜
Watokea Zanzibar weye auYaelekea unapenda sana misosi weye maana hata jina lako hapo😆😆😜
Ngoja mimi siku nijilipue. NipikeAtokee wa kuanzisha hili 😀
😄😄Hapana Yakhee!!mie wa baraWatokea Zanzibar weye au
Usiache kutupa mrejesho wakeNgoja mimi siku nijilipue. Nipike
ipo mahii🤣🤣Uji wa tui la Nazi upo.
Ila chai sijawai sikia
try tamu hatari nayo unaweka maziwa piaNitapika chai ya maziwa na sio nazi
yenyewe unaweka mwishoniTui la nazi likichemka sana huwa linakatika, utapata supu ya mafuta badala ya chai.
Amehlo hemu nielekeze vizuri hapa, ili nipate taste mpya leo.yenyewe unaweka mwishoni
kuandika sasa 🤣🤣jf watuwekee sehemu ya voice note aahAmehlo hemu nielekeze vizuri hapa, ili nipate taste mpya leo.
Kweli nitaipika nilete mrejesho.try tamu hatari nayo unaweka maziwa pia
Uwiii mi mshamba 😅ipo mahii🤣🤣
Inaonekana hiyo chai ina process yake inayotakiwa kutolewa maelezo marefu tofauti na chai ya kawaida 😅kuandika sasa 🤣🤣jf watuwekee sehemu ya voice note aah
ngoja nijaribu kukuelekeza simple stepInaonekana hiyo chai ina process yake inayotakiwa kutolewa maelezo marefu tofauti na chai ya kawaida 😅
🤣🤣🤣🤣🤣🤣mpikie bamtu aenjoyUwiii mi mshamba 😅
Kabisa na nitakujuza ilikuaje 😝🤣🤣🤣🤣🤣🤣mpikie bamtu aenjoy
ayaaaa utanipa mrejeshoKabisa na nitakujuza ilikuaje 😝
Kama nimekuelewa hivi, lakini itapendeza kama nikisikia zaidi hiyo voicenote Amehlo, nadhani utaelezea vizuri zaidi.ngoja nijaribu kukuelekeza simple step
chukua maji kiasi (unaweza weka ya mchaichai) bandika then weka viungo vyote unavyopenda chemsha ikicheka unaweza weka maziwa either ya unga au maji nayo yachemke kisha weka nazi unaweza tumia ya bhakhresa au ya kukuna, kama utatumia ya kukuna weka tui zito lile ichemke kiasi then tayari kwa kunywa 😊
ukitaka process yenye manjonjo hatua kwa hatua ntakutumia Voicenote Pm
nikitulia tuKama nimekuelewa hivi, lakini itapendeza kama nikisikia zaidi hiyo voicenote Amehlo, nadhani utaelezea vizuri zaidi.