Chai kwa maana kile kimiminika kinatoa Usingizi na kukuchangamsha, kinacholeta usingizi pengine ni kitafunwa, Vitu vyenye wanga na mafuta vinasababisha usikie usingizi. Unaweza piga Chai na Mihogo ya kukaanga ukaskia usingizi ni Mihogo ndio imesababisha na sio Chai.Habari zenu wakuu ๐๐ฝ ๐๐ฝ
Binafsi nna mda mrefu situmii (kunywa) chai kama sehemu ya mlo wangu wa asubuhi.
Kwa7b CHAI imekuwa inanipa usingizi baada ya kuinywa, hivyo baada ya kunywa tu uchovu hunijia na ni lazima nitafute sehemu ili nilale ili kuondoa uchovu huo unaoletwa na unywaji wa CHAI.
Nisipokunywa CHAI hali hiyo ya USINGIZI siwezi kuipata wakati wa asubuhi.
Hivyo imenilazimu kuacha unywaji wa chai kwa7b ya usingizi na mpaka sasa nna miaka mingi tangu niache unywaji huo.
______________________
Lengo la kuleta hoja hii nahitaji kujua hali hii inanipata mm tu au watu wote wanao tumia chai nchi?.
Wenye chai kuna caffeine,caffeine inaleta sedative( sedation) effect that sedative effect can depress central nervous system!Habari zenu wakuu ๐๐ฝ ๐๐ฝ
Binafsi nna mda mrefu situmii (kunywa) chai kama sehemu ya mlo wangu wa asubuhi.
Kwa7b CHAI imekuwa inanipa usingizi baada ya kuinywa, hivyo baada ya kunywa tu uchovu hunijia na ni lazima nitafute sehemu ili nilale ili kuondoa uchovu huo unaoletwa na unywaji wa CHAI.
Nisipokunywa CHAI hali hiyo ya USINGIZI siwezi kuipata wakati wa asubuhi.
Hivyo imenilazimu kuacha unywaji wa chai kwa7b ya usingizi na mpaka sasa nna miaka mingi tangu niache unywaji huo.
______________________
Lengo la kuleta hoja hii nahitaji kujua hali hii inanipata mm tu au watu wote wanao tumia chai nchi?.
Hili ndo tatizo la wabongo wengi!Kwa7bu ni kifupi cha kwasababu sio?
Ishu ni uvivu wa kuandika au ndio tayari una usingizi umekunywa chai zako za sukari gulu?
Mada ya kuandika kwa7bu?Hili ndo tatizo la wabongo wengi!
Unaacha kusimama kwenye mada we unakwenda kujadili jambo ambalo halina uzito.
โACHA UJUAJIโ
Kumbe chai wanaisingizia tuTATIZO NI SUKARI NA SIO MAJANI YA CHAI.