Wampe hiyo ada yake shillingi1,000,000 kwa mwaka tuone kama ataweza kuandaa bajeti ya chakula ya mwaka mzima.Hebu endeleeni kugoma ili wawatimue ielewekeWewe umeenda chuo kusoma au kula vizuri?unataka ule vizuri kwa ada gani yakutosha uliyoitoa wewe?embu someni huko acheni kuwaza kula vizuri kama vile mpo majumbani kwenu,na hapo utakuta nyie wengine mkiwa makwenu hata hiyo chai kavu hamnywagi.
wakitaka kula vizuri walipe ada tsh.5,000,000Wampe hiyo ada yake shillingi1,000,000 kwa mwaka tuone kama ataweza kuandaa bajeti ya chakula ya mwaka mzima.Hebu endeleeni kugoma ili wawatimue ieleweke
Wewe umeenda chuo kusoma au kula vizuri?unataka ule vizuri kwa ada gani yakutosha uliyoitoa wewe?embu someni huko acheni kuwaza kula vizuri kama vile mpo majumbani kwenu,na hapo utakuta nyie wengine mkiwa makwenu hata hiyo chai kavu hamnywagi.
cotz ndio nini
ni kwamba zamani wizara ilikuwa inatumia wazabuni kutoa huduma ya chakula, lakini sasa kutokana na madeni makubwa kutoka kwa wazabuni, mfumo umebadilika, vyuo vinatumia catering services, sasa hawa wako kibiashara zaidi, ndiyo maana hayo yanatokea, chai kavu, maharage na ugali mchana na jioni
Inawezekana hujui vizuri unacho kiongea,
Please re-thinkand bring out an idea
kilaza wewe ungetaka raha ungesoma ukaenda kuchukua degree upate mkopo, ridhika na hicho maana nfo level yako, ustake raha, soma
Wampe hiyo ada yake shillingi1,000,000 kwa mwaka tuone kama ataweza kuandaa bajeti ya chakula ya mwaka mzima.Hebu endeleeni kugoma ili wawatimue ieleweke