kwa hiyo CCM imeonesha ukomavu wa kisiasa nchi nzima maana walimu wanalipwa vyema,madaktari hawana tatizo lolote hakuna ufisadi miundombinu saafi nchi ya pili kwa utajiri duniani AU VIPI RITZChadema wameonyesha udhaifu wa hali ya juu katika masuala ya utawala katika Jiji la Mwanza, wakazi wa Mwanza waliwapa kura kwa imani mtaijenga Mwanza kinyume chake ni ufisadi tu na vita vya kugombea madaraka.
tanzaniaSijui wewe wa wapi!!
Kwa nini sifa zako kama mkimbizi?tanzania
nafanyakazi uhamiajiKwa nini sifa zako kama mkimbizi?
Basi itakuwa uhamiaji wa wanyama na sio watu!!!nafanyakazi uhamiaji
sawasawa.......una akili sanaBasi itakuwa uhamiaji wa wanyama na sio watu!!!