Seif Maalim Seif
Member
- Oct 22, 2020
- 6
- 8
Nikiwa NJIANI kurejea Dar Es Salaam, nikitokea kisiwani PEMBA kupitia mkoani TANGA, katika mwendelezo wa KAMPENI za UCHAGUZI mkuu 2020, kwa KUONANA na WANANCHI, nilibahatika kumuona mwanaMAMA huyu, eneo la MWENGE, mbele ya iliyokuwa EPHATA Bank.
Ni akinaMAMA wengi wenye changamoto za kiUCHUMI kama huyu, wanahitaji BIMA ya AFYA kwao na familia zao.
Wanahitaji AJIRA za uhakika kwa VIJANA na WATOTO wao wanaomaliza ELIMU ya juu ili nao wafaidi jasho la damu watoalo katika kuwasomesha VIONGOZI wa baadaye na hivi punde wa TAIFA letu.
Ni HAKI yao kupatiwa MIKOPO nafuu na isiyo RIBA na uwezeshwaji kiuchumi.
Kwa hali ya SASA, mwanaMAMA huyu HAMUDU hata MILO 3 licha ya kufanya KAZI mwa bidii zote. NAULI ya daladala bado ni changamoto kwake, sisemi ya TAKSI au ....
Ni mwanaMAMA huyu akirejea nyumbani MAJI hakuna na kama yapo basi bili ya maji kwake ni mithili ya kutonesha kidonda chake cha UCHUMI duni na wa CHINI ambao bado anaishi nao,licha ya baadhi ya WACHACHE ndani ya jamii yake na nchi yake, KUINGIA uchumi wa KATI(Social and Economic Inequality).
Na hapo alipo SI hasha anasomesha watoto wake ambapo endapo watafika CHUO KIKUU, bado atalazimika MKOPO kwa kuilipia elimu ambayo kimsingi ni haki yake ya msingi.
KWANINI uendelee KUTESEKA kwa kuCHAGUA kwa mazoea!!?
#CHAGUA MABADILIKO KWA WOTE
#CHAGUA SEIF MAALIM SEIF
#CHAGUO BORA NA SALAMA KWA WATANZANIA