Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
Naombeni Majibu.
Atakayeweza kuielezea vizuri picha hii, kwamba kuna nini na nini
Endapo atakuwa amepatia, nitampatia vocha ya shilingi Elfu tano (5000) kesho, kabla ya saa sita Mchana,
karibu ujaribu bahati yako.
Na hii je?
Yasemekana eti huyu alikuwa binadamu halisi, ila alipewa adhabu na mume wake ambae ni mchawi.