Chagua Jibu Mwafaka

francis okello

New Member
Apr 6, 2013
2
0
Chagua jibu sahihi kukamilisha sentensi ifuatayo.

Wanafunzi waliimba wimbo wa _______ kabla ya kufanya mtihani wao wa kwanza wa ______; Kiswahili, ambayo ni lugha ya ______.
A. kitaifa, taifa, taifa
B. kitaifa, kitaifa, kitaifa
C. taifa, kitaifa, taifa
D. taifa, taifa, taifa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom