Chagua ccm; tuna ushahidi imeleta maendeleo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chagua ccm; tuna ushahidi imeleta maendeleo

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by MAWANI, Sep 14, 2010.

 1. MAWANI

  MAWANI Member

  #1
  Sep 14, 2010
  Joined: May 12, 2009
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tanzania tumeendelea. Wakati Kikwete anachukua nchi, shule za sekondari zilikuwa chache, kwa sasa ni nyingi... kila kata tanzania ina shule ya Sekondari. Hizo shule zisingekuwepo, hawa wangekuwa nje ya shule.

  Picture 024.jpg
  Pichani wanafunzi katika moja ya shule za kata wakipata matirio darasani. Haya ni maendeleo makubwa; mwasemaje?:lol:
   
 2. m

  mzeewadriver Member

  #2
  Sep 14, 2010
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mheshimiwa hii umeleta si mahala pake humu hakuna atakayeiona hata ikionekana basi wadhungu wanasema tuna ignore kwa maana nyingine tunaipotezea. Jaribu kuileta kinyume chake uone watu watakavyochangamka. Hii ndo JF bwana kama huijui.
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  :lol:
   
 4. G

  Gabby Member

  #4
  Sep 14, 2010
  Joined: May 18, 2010
  Messages: 32
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Poa. Ila wakati shule zinajengwa hela zilitoka wapi? Ina maana Dr S! hapana. I mean upinzani ukikamia kitu CCM wanatekeleza maelekezo yao ili waonekane kushinda? Kila mtu ana akili zake na mwenyewe mkulu aliwaasa watu wawe kama mbayuwayu ili wanapotumia akili za wengine wachanganye na za kwao siyo? HATUDANGANYIKI :confused2:
   
 5. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,499
  Likes Received: 2,743
  Trophy Points: 280
 6. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2010
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,219
  Likes Received: 2,084
  Trophy Points: 280
  'Kigumu' Chama cha Mapinduzi
   
Loading...