5.Cha milele? Kuwa mkweli usiiche!?
wengi wanasema hivi lakini tuko nao njia za panya hukuuuu
Laiti NDOA Ingekuwa ya vifurushi, Je, wewe ungejiunga na kifurushi gani?
1.Cha siku?
2.Cha wiki?
3.Cha mwezi?
4.Cha mwaka?
5.Cha milele? Kuwa mkweli usiiche!?
Laiti NDOA Ingekuwa ya vifurushi, Je, wewe ungejiunga na kifurushi gani?
1.Cha siku?
2.Cha wiki?
3.Cha mwezi?
4.Cha mwaka?
5.Cha milele? Kuwa mkweli usiiche!?
Hakuna cha dakika?
Sioni selection ya sisi wavifurishi vya sekunde