hahahaha jamani nimecheka sana. Hivi pdidy we raia wa wapi vile?
Askari polisi waliouawa kituo cha polisi huko Rufiji, tulioneshwa walivozikwa kishujaa. Huyu mjeda mbona kazikwa kimya kimya?
Ebu tuone na ya wakuu wa wilaya inaishaje..!
Unajivamia, unajiteka, unajitorosha, unajisaka na hatimaye unatangaza kujitafuta kwa udi na uvumba. Matukio yote haya haya hayana majina ya waathirika.
Kweli siasa zimefikia mahala pake! Tutashuhudia mengi 2015.
Na ukiamua kuchagua kutokujua,hautajua kamwe!Mambo haya ni mazito kama uyajui bora kukaa kimya kama mimi