TuntemekeSanga
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,346
- 863
Hiyo habari ya Tanga itapata mashiko baada ya uchaguzi. CCM wamewekeza sana kwenye propaganda baada ya kuona watz wanajua thamani ya amani, kila tunapokuwa tunaelekea kwenye uchaguzi CCM wanakuja na propaganda mpya na baada ya uchaguzi mambo yanatulia. Nakwambia kabisa ukikuta kuna kikundi chochote kinaonekana kama tishio kwa nchi hii ujue kinalelewa na ccm, nje ya hapo hakuna kikundi kinachoweza kusumbua Polisi na JWTZ. We subiri utasikia baada ya uchaguzi.
is this trueUnajivamia,unajiteka,unajitorosha,unajisaka na hatimaye unatangaza kujitafuta kwa udi na uvumba.Matukio yote haya haya hayana majina ya waathirika.
Kweli siasa zimefikia mahala pake!Tutashuhudia mengi 2015.
Mkuu;
Naamini hii busara hapa chini itakusaidia sana,wewe pamoja na wenzako.
Naikumbuka saana 1995. Wakambuni Mrema ili aue upinzani. Mrema kuona alivyo kubalika kwa sababu ya hasira ya wananchi kwa lichama hili, akawageuka. Almanusra achukue nchi. Kama sio kubadilishiwa tangazo la kura leo mambo yangekuwa mengine.
Sasa wameamua kubuni haya magenge mara sijui Panya road, mara sijui Al-shabab. Yoote kutishia wazee wawape kura zao ati zimwi likujualo.
Mara hakuna daftari la wapiga kura. Tatizo ni kwamba, mwananchi wa leo kaamka, anajua anacho kitaka. Kuna siku, mtabuni magenge haya muwaambie wamlenge mtu kichwa nao wafanye kweli.
Siasa mbofu mbofu ziondoke kwetu jamani. Mnabadili mpaka Elim?? Miaka yoote 10 mlikuwa wapi mje kuamka leo bado siku 180?
Angalieni, mtatuletea balaa bure na hizi mbinu zenu.
Mahala fulani huko Kakonko-Kigoma (mwaka jana) yalivumbuliwa mabomu mazito na wananchi waliokuwa wakichimba mtaro wa maji.
JW waliitwa kuja kuyategua. Teh! yaani Raia walijazana hapo kama vile wako Uwanja wa Taifa kwenye maadhimisho fulani(pamoja na onyo/kalipio lililokuwa likitolewa).
Usijaribu kuonja sumu kwa kuiramba. Hata Nigeria yalianza hivihivi, "critical-thinkers" kama nyie wakawa wanayajadili easily tu kama hivi nakuhusisha matukio na propaganda za serikali tawala.
And what is going on now over there, i can not mention it as you also aware of it.
Thanks!
Wakumbuke "to every action there is an equal and opposite reaction" wanatengeneza magaidi wa kufeki ipo siku watakuja kuwadhulu wao wenyewe.
Ok, kwahiyo intelijensia ya geshi la Chagonja bado hawajathibitisha kama ni hawa wadudu au la?
Ila kwenye maandamano ya amani ya CUF au CDM Chagonja huwa anajuaga miezi kadhaa kabla kwamba kutakuwa na uvunjifu wa amani.
Mko vizuri
wewe kama unadhani matukio yanayoendelea ni kujiteka nadhani yafaa kupimwa akili. Wahuni wanataka kutuingiza kwenye chuki za kidini halafu unatuambia watu wanajiteka. Vipi wewe?
Mkuu lakini hii hali ya kutoaminika kwa baadhi ya mambo yakiwemo haya ya ugaidi ni CCM wenyewe ndio wamesababisha kwa ujinga wao.Mara ooh CHADEMA magaidi wakiulizwa wamefanya ugaidi gani? utawasikia wanaume wazima wanakwambia wamemwagia mtu tindikali,mara ooh Lwakatare anataka kumteka Msaky,mara ooh CHADEMA wamemteka Ulimboka huku Raisi wa nchi anacheka bila kuona athari ya ujinga huu wa akina Mwigulu.Mara ooh Chadema Wamejilipua Arusha.Wakiambiwa unda tume hawataki,mara ooh kitu chenye ncha kali kutoka wafuasi wa Chadema kilimpiga marehemu Ali Zona,mara kitu kilirushwa kutaka walipo wafuasi wa Chadema kikamlipua Mwangosi.Sasa upuuzi wote huu unawafanya raia wanaidharau serikali kwa matukio kama haya (Ugaidi) Polisi,Mwigulu,Nape na yule mkubwa wao ujinga ujinga ujinga.mangatara.
Ninyi muishi tu kwa.. assumpitions hizohizo badala ya kustuka na kutoa ushirikiano kwa serikali,kalieni hayohayo .kwamba ni mbinu zaCCM.
Tuombe uzima. Mtakiri tu kwamba ushabiki kama huo mnaoufanya hauna mantiki hata kidogo.
Take my words with a special regards. Nakuhakikishia jambo hilo.
.Hivi, kwa akiri ya kawaida tu mapambano ya polisi na hao wanaoitwa magaidi hakuna majeruhi wala vifo upande wa magaidi? mbona hili jeshi letu linataka kutugeuza watanzania kama matahila vile? wao waue, wajeruhi ila wao wsikamatwe hata mmoja na watumike mpka Jwtz?
hivi chagonjwa na ile kitambi ni officer wa nafunzo yapi?mafunzo ya kula?
Mkuu lakini hii hali ya kutoaminika kwa baadhi ya mambo yakiwemo haya ya ugaidi ni CCM wenyewe ndio wamesababisha kwa ujinga wao.Mara ooh CHADEMA magaidi wakiulizwa wamefanya ugaidi gani? utawasikia wanaume wazima wanakwambia wamemwagia mtu tindikali,mara ooh Lwakatare anataka kumteka Msaky,mara ooh CHADEMA wamemteka Ulimboka huku Raisi wa nchi anacheka bila kuona athari ya ujinga huu wa akina Mwigulu.Mara ooh Chadema Wamejilipua Arusha.Wakiambiwa unda tume hawataki,mara ooh kitu chenye ncha kali kutoka wafuasi wa Chadema kilimpiga marehemu Ali Zona,mara kitu kilirushwa kutaka walipo wafuasi wa Chadema kikamlipua Mwangosi.Sasa upuuzi wote huu unawafanya raia wanaidharau serikali kwa matukio kama haya (Ugaidi) Polisi,Mwigulu,Nape na yule mkubwa wao ujinga ujinga ujinga.
Mh!
Hata wangevaa "MAGURUDUMU" kama ya masai bado wangeweza kuchafua hali ya hewa.
Hata wangevaa gun-boots na sare za kijeshi, kama unania ya kukejeri ungetunga habari nyingine tu.
Askari waliojeruhiwa au waliouawa lazima watatanabaishwa tu. Hii ni system na utaratibu wa taasisi ya kijeshi(u never know). Lakini mwisho wa siku, hakuna kitakachofichika maana kama mtu kafa, lazima atazikwa publicly.
Naogopa kwamba hata majeruhi & huyo alofariki wakioneshwa wazi, mtasema ni MAZINGAOMBWE! Teh! kazi sana Bongo-land...