Naikumbuka saana 1995. Wakambuni Mrema ili aue upinzani. Mrema kuona alivyo kubalika kwa sababu ya hasira ya wananchi kwa lichama hili, akawageuka. Almanusra achukue nchi. Kama sio kubadilishiwa tangazo la kura leo mambo yangekuwa mengine.
Sasa wameamua kubuni haya magenge mara sijui Panya road, mara sijui Al-shabab. Yote kutishia wazee wawape kura zao ati zimwi likujualo.
Mara hakuna daftari la wapiga kura. Tatizo ni kwamba, mwananchi wa leo kaamka, anajua anacho kitaka. Kuna siku, mtabuni magenge haya muwaambie wamlenge mtu kichwa nao wafanye kweli.
Siasa mbofu mbofu ziondoke kwetu jamani. Mnabadili mpaka Elim?? Miaka yoote 10 mlikuwa wapi mje kuamka leo bado siku 180?
Angalieni, mtatuletea balaa bure na hizi mbinu zenu.