Chafya ya mpishi

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
13495146_1553000855006432_6638351058830489561_n.jpg
 
Kuna wale wanapika chapati unakuta kavaa kanga na kapanua miguu, yaani frying pan ipo kati, hewa ya kule kusini yoye huwa inaelekea kwenye chapati.
Alafu kwa baadhi ya wamama lishe, huwa wanaweka baadhi ya vitu ktk misosi yao wakiamini ni kuvuta wateja, mfano huko jikoni huweka mkojo ktk mboga au wali au maji ya ugali. Nimewahi dokezwa na mdada mmoja nikachoka.
 
Nimefurahi comment tu, kuna mama mmoja alikuwa anatia vikamasi kidogo kuongeza radha, baadaye akagundulika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom