Chadrack boka: Kiwango changu bado kabisa kufikia 100%

Chadrack boka: Kiwango changu bado kabisa kufikia 100%

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
23,040
Reaction score
33,028
[emoji2788] “Mashabiki wameona kazi yangu kuwa ni nzuri, ila mimi naujua ubora wangu hivyo nikipata mechi kama tano nitakuwa kwenye uwezo mkubwa zaidi ya huu wa sasa. Kitu kinachonifanya nijitume sana ni ubora wa kikosi na pia mzuka wa mashabiki ambao wakati wote wako nyuma yetu kuhakikisha wanatupa morali ili tusonge mbele na kuwapa furaha,” Chadrack Boka, beki mpya wa Yanga [via Mwananchi]
1723797664279.jpg
 
[emoji2788] “Mashabiki wameona kazi yangu kuwa ni nzuri, ila mimi naujua ubora wangu hivyo nikipata mechi kama tano nitakuwa kwenye uwezo mkubwa zaidi ya huu wa sasa. Kitu kinachonifanya nijitume sana ni ubora wa kikosi na pia mzuka wa mashabiki ambao wakati wote wako nyuma yetu kuhakikisha wanatupa morali ili tusonge mbele na kuwapa furaha,” Chadrack Boka, beki mpya wa Yanga [via Mwananchi]View attachment 3071618
Kuna jitu litapasuka siku moja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom