Sawa mkuu... ila hiyo avatar inanipa ukakasi fulani... na kunipotezea concentration yakusoma postMkuu Tuko CHADEMA mna mambo...mi ilikuwa kila nikifungua, holaa...kila nikifungua; holaaa; nikadhani kv natumia Nokia ya Kichina! Nikaazima Pc ya jirani ndo ikafunguka hiyo "Sorry, no entries found!" Nikarudi kwenye Nokia yangu ya Mchina, kwa bahati mbaya nika-click kale ka-tab ka mwisho kulia kalikoandikwa CHANGIA...ebana wee!! Mara moja tu, shwaaaa, hwaaaaa!! Page safiiiiiiii, full mautundu ya magrifiki dizaini!!"
Mkiguswa penye ukweli mnaanza kuporomosha matusi. acheni kukubali kutumiwa kama KONDOM na wana siasa.
Mlitumika 1995 Kwa kuanzisha chama chenu cha CUF mkazigawa kura za Mrema Mkapa akashinda
Mkatumika 2005 kwa kukimbilia kumchagua Kikwete eti ni mwenzenu, sasa hivi maisha yanawakaanga kama wengine
Mlitumia 2010 kwa kumchagua JK na Lipumba akamsaidia JK kushinda
Mnatumika hata sasa kwa kuisema Chadema vibaya ilhali mnajua ni UONGO, eti Chadema ni chama cha wakristo.
Nyakati zote hizo mnatumika na CCM, MoU inazidi kuboreshwa na sasa ni nono zaidi, Mahakama ya Kadhi itakayogharamiwa na serikali ni ndoto, haitakuja kutokea, Waislam bado mnamadai lukuki dhidi ya unyanyaswaji mnaofanyiwa na Serikali ya CCM.
Kadhi mlioahidiwa 2010 mmefanywa kejeli na dhihaka, hakuna cha kadhi wala baba yake kadhi.
Ijumaaa ni siku ya kupiga mzigo kama kawa hakuna mapumziko wala nini wakati wenzako jumamosi na jumapili ni siku ya kushinda kwenye mabanda ya kitimoto kula na kunywa.....
CC THE BIG SHOW Ritz kahtaan Barubaru gombesugu faizafoxy Masanilo Mzito Kabwela
Chadema ni chama cha kimataifa .
Hili ndilo chama kubwa
Magwanda wacheni kudanganya watu.
Serikali ya CCM ina sera ya tabia nchi na mazingira kwa miaka na vikaka sasa nayo ipo chini ya Makamu wa Rais.
Tena ni Sera ya Taifa si ya chama pekee, hii hapa: http://www.tzonline.org/pdf/nationalenvironmentalpolicy.pdf
Hivi mtaacha lini uongo?
Mnyika jumbo lako ubungo limekushinda hakuna maendeleo yoyote uliyofanya maneno tu kweli siasa ni uongo tu na huu ndio mwisho wako hatukuchagui tena katafutesha ulime
Kwiikwiii kwiiii!!! Mkuu wangu hilo li-Avatar huwezi amini hata mi mwenyewe linanikera hadi basi; cjui niliweka nikiwa nimekula mjani, au vipi wala sikumbuki! Kila wakati huwa nakusudia ku-replace lakini najikuta nimesahau!! Lakini acha limalize 2013 salama!Sawa mkuu... ila hiyo avatar inanipa ukakasi fulani... na kunipotezea concentration yakusoma post
Wanaidanganya misukule.
Nilisema post ya nyuma huko, wameona kuna fedha zinazotolewa na Mataifa yenye viwanda vinavyochafua mazingira duniani na wao wakaona wasiikose hii fursa kujitajirisha.
Ni waongo sana kusema kuwa hii ni sera yao. Hii ni sera ya taifa na ushahidi upo na imepewa kipaumbele na Serikali ya CCM kwa kuwekwa kushughulikiwa na Makamu wa Rais na Kikwete amesha pata tuzo kwa hilo, tena mwaka huu huu, tuzo aliyopewa na Bunge la USA na pia Kikwete ameshakuwa Mwenyekiti wa Au wa mambo hayo ya tabia nchi na mazingira. Isitoshe hivi juzi juzi Kikwete kapewa honorary Doctorate na chuo kimoja huko Canada kwa hayo hayo nae akawatunuku (dedicate) tuzo hiyo wakulima wa Tanzania.
Reference na ushahidi wa niyaandikayo ni huu hapa:
President Kikwete's World Environment Day speech raises eyebrows over its sincerity | Wolfgang H. Thome's Blog
Kikwete chairs AU environment meeting - National - thecitizen.co.tz
JK Dedicates Varsity Honor To Farmers
http://habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/16671-bunge-la-marekani-lamtuza-kikwete
Jamani hawa chadema na kina Mnyika, wataacha lini uongo na kudangaya Watanzania? hivi wanafikiri Watanzania wote ni misukule?
Wasidanganye watu, wakadanganye misukule yao.
Wanaidanganya misukule.
Nilisema post ya nyuma huko, wameona kuna fedha zinazotolewa na Mataifa yenye viwanda vinavyochafua mazingira duniani na wao wakaona wasiikose hii fursa kujitajirisha.
Ni waongo sana kusema kuwa hii ni sera yao. Hii ni sera ya taifa na ushahidi upo na imepewa kipaumbele na Serikali ya CCM kwa kuwekwa kushughulikiwa na Makamu wa Rais na Kikwete amesha pata tuzo kwa hilo, tena mwaka huu huu, tuzo aliyopewa na Bunge la USA na pia Kikwete ameshakuwa Mwenyekiti wa Au wa mambo hayo ya tabia nchi na mazingira. Isitoshe hivi juzi juzi Kikwete kapewa honorary Doctorate na chuo kimoja huko Canada kwa hayo hayo nae akawatunuku (dedicate) tuzo hiyo wakulima wa Tanzania.
Reference na ushahidi wa niyaandikayo ni huu hapa:
President Kikwetes World Environment Day speech raises eyebrows over its sincerity | Wolfgang H. Thome's Blog
Kikwete chairs AU environment meeting - National - thecitizen.co.tz
JK Dedicates Varsity Honor To Farmers
http://habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/16671-bunge-la-marekani-lamtuza-kikwete
Jamani hawa chadema na kina Mnyika, wataacha lini uongo na kudangaya Watanzania? hivi wanafikiri Watanzania wote ni misukule?
Wasidanganye watu, wakadanganye misukule yao.
Hapana mkuu... Alichoweka hapa FaizaFoxy ni sera ya serikali ya mazingira (1997), na CDM tunaambiwa wamezindua sera ya mabadiliko ya tabia nchi (climate change policy). Hivi ni vitu viwili tofauti ingawa vina muingiliano fulani. Na hata kama ni sawa, sera ni sera, inabadilika na muda na watawala...
Nimeisoma hii ya mazingira sijaona kama imeaddress suala la mabadiliko ya tabia nchi kwa kina... nasubiri kuona hiyo ya CDM. Naomba kama CCM nao wana yao nipewe link... Hii nchi ni yetu sote, sio vibaya tukashirikiana kuiboresha...
dr feki, punguza hasila, miaka yote ukweli unauma. Mnyika jimbo limemshinda sasa anatapatapa kama kuku anayetaka kutaga. chadema ni kakikundi ka wajanja kanakojipatia pesa kijanja. ukitaka kuamini anzisha harakati za kutaka uwenyekiti utakiona, mifano halisi, Marehem Wangwe R.I.P, and Zitto Shujaa kijana na msomi. halafu wewe dr john hem jalibu kudili na duka lako la dawa kinondoni manyamna.Acha kumchagua pimbi wewe! Badala ya kujadili kilichopo kwenye post unaanza kumjadili mtu. Kaanzishe thread ya uyasemayo. Nyie ndio mnaoshusha hadhi ya jukwaa hili.Bora ukarushiane matusi na watoto wenzio kule fesibuku tu.
Mnyika jumbo lako ubungo limekushinda hakuna maendeleo yoyote uliyofanya maneno tu kweli siasa ni uongo tu na huu ndio mwisho wako hatukuchagui tena katafutesha ulime
Usicheze na maneno. Mazingira ni kubwa kuliko tabia nchi. Tena chagadema wameweka sera ya "tabia ya nchi" si tabia nchi. Kasome vizuri post #1 .
Serikali inaundwa na CCM usisahahu hilo.
Usicheze na maneno. Mazingira ni kubwa kuliko tabia nchi. Tena chagadema wameweka sera ya "tabia ya nchi" si tabia nchi. Kasome vizuri post #1 .
Serikali inaundwa na CCM usisahahu hilo.