CHADEMA yazindua Sera Mpya

nimekosea nini tena ndugu yangu??

Kwani leo dada hatuelewani wapi jamani???!!!

Walitoa website ya watu kuchangia na wewe ukiwa mtaalamu katupiemo contrbution on those mentioned aspects ndio nilichomaanisha!!!!!

Samehe lugha please kama sikueleweka my dada!!!!!
 
Hii thread haitaguswa na yale maboga ya Lumumba

Huwezi kutoa maoni yako mpaka utukane, sawa unayaita maboga lakini ndo hao viongozi wako wanaoongoza serikali hii ambayo inakupa usingizi amani, shibe inayokufanya ubwatuke ovyo. shika adabu yako. jifunze kuwa mkomavu wa akili, hayumkini wewe mzungu wa unga?
 

Naona shangazi unatafuta mume kwa nguvu!
Huku vyumba vimejaa!
Mjaribu Nicholas na Nyakageni
Hao wawili kutokana na kuendekeza vileo vya bure au huenda jogoo haliwiki mpaka leo hawajapata jiko bado!
Huenda ukafanikiwa! After all they are all chademas!

faby wabara. mohamed ally
 
Last edited by a moderator:
kwani leo dada hatuelewani wapi jamani???!!!

Walitoa website ya watu kuchangia na wewe ukiwa mtaalamu katupiemo contrbution on those mentioned aspects ndio nilichomaanisha!!!!!

Samehe lugha please kama sikueleweka my dada!!!!!

kwanza nisamehe mimi manake leo sijui nikoje...................
Ila to be honest my brain is not working properly, na ndo mana toka saa tisa nikaamua kushinda humu.
Nisamehe sana uzee huu sio matani lol!!
 
we ndumyana chadomo ni chama waoza meno na waabudu sanamu (kale ka mungu kaliyezaliwa badae kakabamizwa na watu wake) hako ka chama kanaanzia himo kanaishia stendi ya vifodi arusha! huyo padri labda awe rais wa mamako na dadako lakini sio raisi wa tanzania umeskia we LAANATULLAH
 
Last edited by a moderator:
Mnyika jumbo lako ubungo limekushinda hakuna maendeleo yoyote uliyofanya maneno tu kweli siasa ni uongo tu na huu ndio mwisho wako hatukuchagui tena katafutesha ulime

Umeelewa kinachoongelewa? ama huelewi maana ya maendeleo? harafu JUMBO na KATAFUTESHA ni nini?
 
Mkuu wewe unaipata hiyo sera?

Maana kinachoonekana kwenye screen yangu ni

View attachment 124384

Mkuu Tumaini Makene kasma upo around hebu tuwekee hiyo sera hapa jukwaani...
Mkuu Tuko CHADEMA mna mambo...mi ilikuwa kila nikifungua, holaa...kila nikifungua; holaaa; nikadhani kv natumia Nokia ya Kichina! Nikaazima Pc ya jirani ndo ikafunguka hiyo "Sorry, no entries found!" Nikarudi kwenye Nokia yangu ya Mchina, kwa bahati mbaya nika-click kale ka-tab ka mwisho kulia kalikoandikwa CHANGIA...ebana wee!! Mara moja tu, shwaaaa, hwaaaaa!! Page safiiiiiiii, full mautundu ya magrifiki dizaini!!"
 
Last edited by a moderator:
kwanza nisamehe mimi manake leo sijui nikoje...................
Ila to be honest my brain is not working properly, na ndo mana toka saa tisa nikaamua kushinda humu.
Nisamehe sana uzee huu sio matani lol!!
Duh ...kumbe saa nyingine tunabishana na waliojikatia Tamaa ya kuishi humu?
 
kwanza nisamehe mimi manake leo sijui nikoje...................
Ila to be honest my brain is not working properly, na ndo mana toka saa tisa nikaamua kushinda humu.
Nisamehe sana uzee huu sio matani lol!!


Dada akisema unafanyaje sasa!!!!
Pole mamy,hope utakuwa fine soon!!!
 
kubishana kunaongoza kwa maada hii,mmesahau kuchangia maada.chadema mmefanya poa sana
 

yaan sikujua unataka kueleza nini -ni TABIA NCHI (Global warming) sio TABIA YA NCHI
 
Good news.
Sera hii itatupeleka airport soon tutapaa tuu.
Chamsing tuungane tuu maana penye ufa.......?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…