CHADEMA yazindua Sera Mpya

Mnyika jumbo lako ubungo limekushinda hakuna maendeleo yoyote uliyofanya maneno tu kweli siasa ni uongo tu na huu ndio mwisho wako hatukuchagui tena katafutesha ulime

vp wewe mbunge wako yule mchawi majimarefu jimbon kwenu hali ikoje
 
Hiyo sera imezinduliwa na chadema asili au family?

Mnachekesha sana hivi mnadhani wananchi hawajui 95% uongozi mkuu ni waislamu? ulishaona CDM inapiga kelele?: sio mambo muhimu kuongelea udini na ukabila, Maslahi ya Taifa kwanza.
 
Kama makafiri mnajimudu chagueni viongoz wenu ,msililie wokovu kwa mgongo wa waislam.napita tu

Dini ni moja tu Christianity zingine magumashi tu.dini gani zinahamasisha chuki,vurugu kuoa mitara et al
 

wengine tulijiunga CHADEMA si kwa kufuata mtu, bali sera.



safi sana CHADEMA.

People's Power!
 

Haya kaka,presentation skills au???!!!!!
Degree bado muhimu kwa viongozi!!!!
 
Last edited by a moderator:

Dada nawe bhana hebu katupie huko walikoalika wataalamu!!!
 
Vyama siasa vipige siasa,hamna taasisi za mazingira na wataalam mnatatekeleza vipi sera kwanini msimalizie mliyoanzisha kwanza na kueneza chama.

Atakuwa muhafidhina LIssu kajipigia ndefu apige hela dogo yeye mcheza shoo tu na aendelee kuuza nyago.
 
Tuache kugeuza mada hii kuwa ya kidini,

Tujadili sera mpya ya chadema

Huyo kwasababu ni mgalatia mwenzako NA MCHADEMA MWENZAKO unamnasihi kiungwana!

Angekuwa MUISLAMU ndio kaanzisha UDINI UNGETUKANA NA KUTOA KASHFA!
Ni bora ya nyoka mwenye sumu KULIKO MTU MWENYE SURA MBILI!
 
Mapompo power
 

Attachments

  • 1385989827615.jpg
    28.7 KB · Views: 53
Khaa!! Bad timings but good idea. Hii single haitauzika. ni sawa na kutoa mbege Mbeya ukaenda kuuza Moshi.
 
Chadema , kinaendelea kujiandaa kwa ajili ya uchaguzi wa 2015, hii ndio tofauti ya CHADEMA NA CCM kwani CCM mara zote wao wanatumia sera za serikali na kusema ni za kwao kama chama , ndio maana huwezi kuona andishi la sera zao....
 
kazi ya mbunge sio kumwaga pesa ndugu ni kuishauri na kuishinikiza serikali,hivi huyo Mo DEWJI mbunge wa singida mjini katika jimbo lake hakuna watu wanao lala njaa?hacha kutafakali kwa kutumia nywele tumia kichwa na ubongo hongereni chadema watu wanapaswa kuelimishwa kuhusu mabadiliko ya tabia nchi
 
Sera hii ni ya muhimu sana kwani kama taifa mpaka sasa tumejiweka mazingira hatarishi sana , hizi vita za wakulima na wafugaji, juu ya maeneo ya malisho , itakuwa mbaya sana itakapoanza vita ya aina hiyo kwa ajili ya maji, huku wafugaji wakutana maji ya mifumo yao hata kama ni kwenye vyanzo vya maji na wananchi wengine wakili ad vyanzo hivyo ili wapate maji.

wananchi wa maeneo tambarare au wa Ukanda wa chini ya milima , watanzania kapigwa no na wale wa milimani wakili kiti ndio chanzo cha wao kukosa maji, kutokana na madhara ya Tabia nchi ....hivyo kama taifa lazima tuone hatari hii iliyopo mbele yetu na kuanza mjadala wa kina kuhusiana na hatari hiyo.
 
Vizuri sana.
Chadema inazidi kuonyesha ni kwa namna gani kilivo tofauti na vyama vingine,Kwa kuchambua sera zinazolenga kuleta suluhu ktk Jamii nzima.


Yap! Umenena Mkubwa! Ila wale misukule watakataa tu!
Lakini nawahurumia kwingineko hawajijui kimawazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…