Mkuu
Kimbunga habari za siku nyingi? bila shaka ulikuwa unaska tonge. Kwa Manchira kilichotokea kiliripotiwa hapa bila chenga, we nenda kule kwenye sub forum ya chaguzi ndogo uone jinsi DC na polisi walivyoshirikiana kutuhujumu.
Lakini kwakuwa 2015 tutakuwa wenyewe hakutakuwa na Gachuma wala Mirumbe basi ni hakika kuwa tutaipukutisha ccm kuanzia kwenye halmashauri hadi bungeni.