Sasa ni dhahiri CCM Imezidiwa.Matokeo ya Uchaguzi wa Kata mbalimbali uliofanyika Jumapili yamepeleka kilio kikubwa CCM.
Ni kweli pia kwamba kwa Idadi ya Kata CCM imepata kata nyingi Lakini ikizidiwa kwa jumla ya kura na Chadema.
Ikumbukwe pia kuwa idadi kubwa ya wafuasi wa Chadema ambao ni vijana bado hawajaandikishwa katika daftari la kudumu la wapiga kura.
Ni dhahiri Chadema sasa inasambaa kama moto wa nyika na matumaini ya kukamata dola uchaguzi mkuu ujao yanazidi kuongezeka.
Yafuatayo ni matokeo ya Kata 14 tuliyoyapata mpaka sasa ambayo yanaonyesha kura za Jumla Chadema imeizidi CCM kwa kura 1859.
ISEKE-SINGIDA
CCM 791
CDM 831
NYAMPULUKANO-SENGEREMA
CCM1088
CDM 1483
DONGOBESH-MANYARA
CCM 974
CDM 1558
BASHNET-MBULU
CCM 1130
CDM 2008
IYELA-MBEYA
CCM 1163
CDM 1918
IFAKARA-KILOMBERO
CCM 3723
CDM 4353
MINEPA-ULANGA
CCM 1164
CDM 1004
STESHENI-NACHINGWEA
CCM 806
CDM 353
NGANGANGE-KILOLO
CCM 600
CDM 223
GENGE-MUHEZA
CCM 347
CDM 326
TINGENI-MUHEZA
CCM 363
CDM 244
MANCHILA-SERENGETI
CCM 672
CDM 623
MASANZE-KILOSA
CCM 833
CDM 623
RUNZEWE MASHARIKI-SENGEREMA
CCM 604
CDM 570
JUMLA KUU KATA 14
CCM 14258
CDM 16117
Itakumbukwa tarehe 16/06/2013 ilikuwa ni siku ya uchaguzi mdogo wa madiwani kwa baadhi ya kata nchini. Uchaguzi huo umefanyika kwenye kata ishirini na mbili (22) -kati ya kata ishirini na sita (26) zilizotangazwa kufanya uchaguzi mdogo wa kujaza nafasi wazi.
Matokeo tuliyoyapata toka kwenye maeneo yaliyofanya uchaguzi yanaonyesha kuwa kati ya kata 22 zilizofanya uchaguzi CCM tumeshinda kata 16 sawa na asilimia 72.72% na wenzetu wamechukua kata 6 zilizobaki sawa na asilimia 27.28%.
Tunawashukuru sana kote walikoonyesha imani yao kubwa kwa Chama chetu kwa kutupa dhamana ya kuendelea kuwatumikia. CCM inawaahidi utumishi uliotukuka.
Hata wale 27.28% walioamua kuwajaribu wenzetu, tunawatakia kila lakheri, kwani wametumia haki yao ya kidemokrasia kuchagua wanaodhani watawasaidia kufikia malengo yao ya kimaendeleo. Uchaguzi kwenye kata hizi zote umeisha sasa tuwatumikie wananchi.
Kata nne za jiji la Arusha hazikufanya uchaguzi baada ya kuahirishwa kufuatia tukio la kusikitisha la kulipuka kwa bomu kwenye mkutano wa kampeni wa Chadema mjini Arusha tarehe 15/06/2013.
CCM tunalaani tukio hilo la mlipuko wa bomu na matukio yanayofanana na hayo katika nchi yetu. Tunawapa
pole wale wote walioathirika na tukio hilo.
Ni vizuri serikali ikalichunguza swala hili kwa kutumia muda mfupi na kuhakikisha waliohusika wanapatikana na kuchukuliwa hatua zinazostahili.
Pamoja na kulaani na kuitaka serikali kukomesha vitendo hivi nchini, ni wakati muafaka kwa vyama vya siasa nchini kujitazama upya kwani kuna kila dalili kuwa tukio hili kama alivyonukuliwa na baadhi ya vyombo vya habari mhe. Mbowe Mwenyekiti wa Chadema Taifa kuwa ni la kupangwa, inawezekana limepangwa na Chadema wenyewe.
Hali ya kisiasa jijini Arusha kuelekea uchaguzi huo ilikuwa wazi kuwa wana Arusha walishaamua kuzirudisha kata hizo nne kwa CCM, hasa baada ya kuchoshwa na maandamano na vurugu za kila siku jijini Arusha.
Aidha kauli za kukata tamaa za viongozi wa Chadema na vitendo vyao ni dalili tosha kuwa tukio hili lilipangwa na Chadema wenyewe.
CCM tunaendelea kusisitiza na kulaani juhudi za wenzetu kujaribu kujenga umaarufu wa chama chao juu ya damu za Watanzania. Juhudi hizi zinapaswa kulaaniwa na wazalendo wote ndani na nje ya nchi.
Tukumbuke asiyekubali kushindwa, si mshindani. Si busara wala uungwana na ni kinyume na utu kutumia majanga ya kutengeneza kama mtaji wa kisiasa.
Lakini CCM tunalaani pia kitendo cha viongozi wa Chadema kujaribu kutumia baadhi ya misiba na majeruhi wa tukio hili kisiasa na mwisho wa siku kwenda kuwatelekeza hospitali baadhi yao baada ya kuwaahidi kubeba gharama zote za matibabu na mazishi.
Tunaipongeza serikali kwa kuingilia kati na kuwasaidia waathirika hawa na kuhakikisha wanapata huduma inayostahili.
CCM inarudia kueleza masikitiko yake kwa waathirika wa tukio hili la kinyama na kikatili lisilostahili kuvumiliwa hata kidogo.
Kama Chama tumeguswa sana na tukio hili pamoja na kulilaani, tunawasihi watanzania tushindane na kutofautiana bila kupigana na kuvunja tunu ya nchi yetu ya amani na utulivu.
Katika demokrasia ya vyama vingi swala la kuvumiliana ni swala la msingi sana katika kufikia ukomavu wa demokrasia hiyo.
Imetolewa;
Nape Moses Nnauye
Katibu wa CCM Itikadi na Uenezi.
17/06/2013

Neno kupoteza nape haelewi mana! Walikuwa na 20 hadi 16, je hapo umepata zaidi?
[FONT=Open
Sans]Itakumbukwa tarehe 16/06/2013 ilikuwa ni siku ya uchaguzi mdogo wa
madiwani kwa baadhi ya kata nchini. Uchaguzi huo umefanyika kwenye kata
ishirini na mbili (22) -kati ya kata ishirini na sita (26)
zilizotangazwa kufanya uchaguzi mdogo wa kujaza nafasi wazi.
Matokeo tuliyoyapata toka kwenye maeneo yaliyofanya uchaguzi
yanaonyesha kuwa kati ya kata 22 zilizofanya uchaguzi CCM tumeshinda
kata 16 sawa na asilimia 72.72% na wenzetu wamechukua kata 6 zilizobaki
sawa na asilimia 27.28%.
Tunawashukuru sana kote walikoonyesha imani yao kubwa kwa Chama chetu
kwa kutupa dhamana ya kuendelea kuwatumikia. CCM inawaahidi utumishi
uliotukuka.
Hata wale 27.28% walioamua kuwajaribu wenzetu, tunawatakia kila lakheri,
kwani wametumia haki yao ya kidemokrasia kuchagua wanaodhani
watawasaidia kufikia malengo yao ya kimaendeleo. Uchaguzi kwenye kata
hizi zote umeisha sasa tuwatumikie wananchi.
Kata nne za jiji la Arusha hazikufanya uchaguzi baada ya kuahirishwa
kufuatia tukio la kusikitisha la kulipuka kwa bomu kwenye mkutano wa
kampeni wa Chadema mjini Arusha tarehe 15/06/2013.
CCM tunalaani tukio hilo la mlipuko wa bomu na matukio yanayofanana na
hayo katika nchi yetu. Tunawapa
[/FONT]
pole wale wote walioathirika na tukio
hilo.
Ni vizuri serikali ikalichunguza swala hili kwa kutumia muda mfupi na
kuhakikisha waliohusika wanapatikana na kuchukuliwa hatua zinazostahili.
Pamoja na kulaani na kuitaka serikali kukomesha vitendo hivi nchini, ni
wakati muafaka kwa vyama vya siasa nchini kujitazama upya kwani kuna
kila dalili kuwa tukio hili kama alivyonukuliwa na baadhi ya vyombo vya
habari mhe. Mbowe Mwenyekiti wa Chadema Taifa kuwa ni la kupangwa,
inawezekana limepangwa na Chadema wenyewe.
Hali ya kisiasa jijini Arusha kuelekea uchaguzi huo ilikuwa wazi kuwa
wana Arusha walishaamua kuzirudisha kata hizo nne kwa CCM, hasa baada ya
kuchoshwa na maandamano na vurugu za kila siku jijini Arusha.
Aidha kauli za kukata tamaa za viongozi wa Chadema na vitendo vyao ni
dalili tosha kuwa tukio hili lilipangwa na Chadema wenyewe.
CCM tunaendelea kusisitiza na kulaani juhudi za wenzetu kujaribu kujenga
umaarufu wa chama chao juu ya damu za Watanzania. Juhudi hizi zinapaswa
kulaaniwa na wazalendo wote ndani na nje ya nchi.
Tukumbuke asiyekubali kushindwa, si mshindani. Si busara wala uungwana
na ni kinyume na utu kutumia majanga ya kutengeneza kama mtaji wa
kisiasa.
Lakini CCM tunalaani pia kitendo cha viongozi wa Chadema kujaribu
kutumia baadhi ya misiba na majeruhi wa tukio hili kisiasa na mwisho wa
siku kwenda kuwatelekeza hospitali baadhi yao baada ya kuwaahidi kubeba
gharama zote za matibabu na mazishi.
Tunaipongeza serikali kwa kuingilia kati na kuwasaidia waathirika hawa
na kuhakikisha wanapata huduma inayostahili.
CCM inarudia kueleza masikitiko yake kwa waathirika wa tukio hili la
kinyama na kikatili lisilostahili kuvumiliwa hata kidogo.
Kama Chama tumeguswa sana na tukio hili pamoja na kulilaani, tunawasihi
watanzania tushindane na kutofautiana bila kupigana na kuvunja tunu ya
nchi yetu ya amani na utulivu.
Katika demokrasia ya vyama vingi swala la kuvumiliana ni swala la msingi
sana katika kufikia ukomavu wa demokrasia hiyo.
Imetolewa;
Nape Moses Nnauye
Katibu wa CCM Itikadi na Uenezi.
17/06/2013
Msipo chagua ccm, wana nchi wa arusha mtakufa, by mwigulu nchemba!Itakumbukwa tarehe 16/06/2013 ilikuwa ni siku ya uchaguzi mdogo wa madiwani kwa baadhi ya kata nchini. Uchaguzi huo umefanyika kwenye kata ishirini na mbili (22) -kati ya kata ishirini na sita (26) zilizotangazwa kufanya uchaguzi mdogo wa kujaza nafasi wazi.
Matokeo tuliyoyapata toka kwenye maeneo yaliyofanya uchaguzi yanaonyesha kuwa kati ya kata 22 zilizofanya uchaguzi CCM tumeshinda kata 16 sawa na asilimia 72.72% na wenzetu wamechukua kata 6 zilizobaki sawa na asilimia 27.28%.
Tunawashukuru sana kote walikoonyesha imani yao kubwa kwa Chama chetu kwa kutupa dhamana ya kuendelea kuwatumikia. CCM inawaahidi utumishi uliotukuka.
Hata wale 27.28% walioamua kuwajaribu wenzetu, tunawatakia kila lakheri, kwani wametumia haki yao ya kidemokrasia kuchagua wanaodhani watawasaidia kufikia malengo yao ya kimaendeleo. Uchaguzi kwenye kata hizi zote umeisha sasa tuwatumikie wananchi.
Kata nne za jiji la Arusha hazikufanya uchaguzi baada ya kuahirishwa kufuatia tukio la kusikitisha la kulipuka kwa bomu kwenye mkutano wa kampeni wa Chadema mjini Arusha tarehe 15/06/2013.
CCM tunalaani tukio hilo la mlipuko wa bomu na matukio yanayofanana na hayo katika nchi yetu. Tunawapa
pole wale wote walioathirika na tukio hilo.
Ni vizuri serikali ikalichunguza swala hili kwa kutumia muda mfupi na kuhakikisha waliohusika wanapatikana na kuchukuliwa hatua zinazostahili.
Pamoja na kulaani na kuitaka serikali kukomesha vitendo hivi nchini, ni wakati muafaka kwa vyama vya siasa nchini kujitazama upya kwani kuna kila dalili kuwa tukio hili kama alivyonukuliwa na baadhi ya vyombo vya habari mhe. Mbowe Mwenyekiti wa Chadema Taifa kuwa ni la kupangwa, inawezekana limepangwa na Chadema wenyewe.
Hali ya kisiasa jijini Arusha kuelekea uchaguzi huo ilikuwa wazi kuwa wana Arusha walishaamua kuzirudisha kata hizo nne kwa CCM, hasa baada ya kuchoshwa na maandamano na vurugu za kila siku jijini Arusha.
Aidha kauli za kukata tamaa za viongozi wa Chadema na vitendo vyao ni dalili tosha kuwa tukio hili lilipangwa na Chadema wenyewe.
CCM tunaendelea kusisitiza na kulaani juhudi za wenzetu kujaribu kujenga umaarufu wa chama chao juu ya damu za Watanzania. Juhudi hizi zinapaswa kulaaniwa na wazalendo wote ndani na nje ya nchi.
Tukumbuke asiyekubali kushindwa, si mshindani. Si busara wala uungwana na ni kinyume na utu kutumia majanga ya kutengeneza kama mtaji wa kisiasa.
Lakini CCM tunalaani pia kitendo cha viongozi wa Chadema kujaribu kutumia baadhi ya misiba na majeruhi wa tukio hili kisiasa na mwisho wa siku kwenda kuwatelekeza hospitali baadhi yao baada ya kuwaahidi kubeba gharama zote za matibabu na mazishi.
Tunaipongeza serikali kwa kuingilia kati na kuwasaidia waathirika hawa na kuhakikisha wanapata huduma inayostahili.
CCM inarudia kueleza masikitiko yake kwa waathirika wa tukio hili la kinyama na kikatili lisilostahili kuvumiliwa hata kidogo.
Kama Chama tumeguswa sana na tukio hili pamoja na kulilaani, tunawasihi watanzania tushindane na kutofautiana bila kupigana na kuvunja tunu ya nchi yetu ya amani na utulivu.
Katika demokrasia ya vyama vingi swala la kuvumiliana ni swala la msingi sana katika kufikia ukomavu wa demokrasia hiyo.
Imetolewa;
Nape Moses Nnauye
Katibu wa CCM Itikadi na Uenezi.
17/06/2013
Sasa ni dhahiri CCM Imezidiwa.Matokeo ya Uchaguzi wa Kata mbalimbali uliofanyika Jumapili yamepeleka kilio kikubwa CCM.
Ni kweli pia kwamba kwa Idadi ya Kata CCM imepata kata nyingi Lakini ikizidiwa kwa jumla ya kura na Chadema.
Ikumbukwe pia kuwa idadi kubwa ya wafuasi wa Chadema ambao ni vijana bado hawajaandikishwa katika daftari la kudumu la wapiga kura.
Ni dhahiri Chadema sasa inasambaa kama moto wa nyika na matumaini ya kukamata dola uchaguzi mkuu ujao yanazidi kuongezeka.
Yafuatayo ni matokeo ya Kata 14 tuliyoyapata mpaka sasa ambayo yanaonyesha kura za Jumla Chadema imeizidi CCM kwa kura 1859.
ISEKE-SINGIDA
CCM 791
CDM 831
NYAMPULUKANO-SENGEREMA
CCM1088
CDM 1483
DONGOBESH-MANYARA
CCM 974
CDM 1558
BASHNET-MBULU
CCM 1130
CDM 2008
IYELA-MBEYA
CCM 1163
CDM 1918
IFAKARA-KILOMBERO
CCM 3723
CDM 4353
MINEPA-ULANGA
CCM 1164
CDM 1004
STESHENI-NACHINGWEA
CCM 806
CDM 353
NGANGANGE-KILOLO
CCM 600
CDM 223
GENGE-MUHEZA
CCM 347
CDM 326
TINGENI-MUHEZA
CCM 363
CDM 244
MANCHILA-SERENGETI
CCM 672
CDM 623
MASANZE-KILOSA
CCM 833
CDM 623
RUNZEWE MASHARIKI-SENGEREMA
CCM 604
CDM 570
JUMLA KUU KATA 14
CCM 14258
CDM 16117
Kamanda Molemo ahsante kwa analysisi. Sisi tunajua kiwango cha kukubalika kwa Chadema kinaongezeka huku kiwango cha kuporomoka kwa ccm kikiongezeka pia.
Lakini kwakuwa wanasaidiwa na policcm na tiss ndio sababu ya kuonekana bado wanapumua hadi wakati huu.