Ngoja tusubiri lumumba buku 7 team na hoja zao Dhaifu
Copy and paste, Cuf ngangari, chadema ngangari kila kitu cdm ni kucopy kutoka Cuf, gazeti Tanzania daima la chadema udakuuuuuuuuuuuu
Yupi huyo, tupe faida.Hivi yule mwenyekiti wa CUF ambaye alikuwa anapandikiza chuki msikitini ili watanzania wachukiane bado nae anaaminika huku akikiri kuwa alikuwa anampigia kiongozi wa chama tawala kampeni na huku nae anagombea, msalimie