Lumumba fc wakiongozwa na simiyu yao wavamia thread,simiyu akiri ccm mfu,usiogope wala usifute kauli wakikutimua kwenye timu yao mimi nipo
Pole sana kwa kuweweseka! Polisi kutupa bomu kwenye mikutano unaona siyo kutetemeka! Kiazi Nchemba kuzunguka na kamera za kurekodia na kusaka mabomu china siyo kutetemeka! By the way sasa ni wazi hata mabomu na mauaji ya ZNZ na kwingineko kumbe ni Polisi wakati wa kutetemeka na kuweweseka kwa kupewa maagizo mia mia!! Poleni waislamu kwa kusingiziwa hamjahusika kwenye tafrani yoyote ila haya majambazi ya Polisi yanayotumwa kama majini. Siku zao zitaisha tutakapoungana kuyakabili!! SHIT!!Tumia akili yako kutathmini mambo na sio kulishwa kila jambo.
Binfsi naona hali ni tofauti kabisa na andiko uliloliweka. Hata vijana wa CDM humu ndani mmeshaliona hili na ndio maana kila baads ya sentensi mnatoa kauli ya kumlalamikia MUNGU. Ila sometimes kujipa moyo kwa posts kama hizi inaruhusiw
Haya ni maneno ya kupeana moyo hamna lolote.
sio mbaya mkiwa mnajipa moyo na gazeti lenu la tanzania daima cdm...mtasubiri sana
Haya ni maneno ya kupeana moyo hamna lolote.
Lete data tutandike magraphu hapa.Ungekuwa na uelewa kidogo wa hesabu fanya hivi
Chora graph ya idadi ya wabunge kuanzia 1995 hadi 2012
-Vertially (wima) idadi ya wabunge
-Horizonally (mstari wa ulalo) miaka
a) chora ya ccm
b) chora ya cdm
Conclusion graph ya ccm inashuka/decrease wakati ile ya chadema inapanda/increase
Je unasemaje kwamba hapo hamna kitu wakati kuna positive gradient kwa cdm na negative kwa ccm?
Lete data tutandike magraphu hapa.
Duh hii ni hatari, nahisi dafatari la kupigia kura lingekuwa limerekebiswa hali ingesomeka vizuri zaidi.Mkuu Fredrick Sanga HAPA CHIN MKUU
kwa usahihi zaidi pitia website ya bunge.
MWAKA1995 Wabunge 4, madiwani 42.
Mwaka2000, 5 madiwani 75. Increased very slightly
Mwaka 2005 11 madiwani 103" incresased by over 100% 6/5 x100 (120%) or two times 5
Mwaka 2010 48, Madiwani. 467. increased by over 100% 37/11 x 100 (336%) or three times 11
kwa mlinganisho huu tunako elekea 2015 ccm waatashika namba mbili
Duh hii ni hatari, nahisi dafatari la kupigia kura lingekuwa limerekebiswa hali ingesomeka vizuri zaidi.
Ah, kumbeee, ndio maana wamekaa kimya kwenye hii kitu. dafatari. CCM Wabaya kweliYaani sasa hivi ccm wanaishi kwa kuchelewesha demokrasia na kujaribu kuzuia mafuriko kwa mikono.
Hilo daftari la wapiga kura ccm na serikali yake wamelikalia tulii, wanafaham kabisa ndio kaburi lao
Wakiliboresha kwa haki bila mizengwe, basi vijana wanafanya kweli tena itakuwa kilio na kusaga meno mitaa ya ccm yote.
Itakuwa mbaya kuliko maelezo. Wangekuwa na uwezo wangeagiza kuwa daftari hilo lisirekebishwe daima. Kuwa wapiga kura wawe walewale hadi watakapo kufa.Je daftari la wapiga kura likirekebishwa hali itakuwaje kwa CCM?
Ah, kumbeee, ndio maana wamekaa kimya kwenye hii kitu. dafatari. CCM Wabaya kweli
Nimefanya graphical interpolation, kwa exponential function napata wabonge kama 120 kwa CDM. Hii ina maana kwamba CDM wasilale. Hii ni zaidi kidogo sana ya nusu. Ila itakuwa safi sana, Ile dioooo itaisha. Lakini kama ruswa na uizi wa kura vikizibitiwa CCM watakuwa na hali mbaya sana. Hiyo chini ya nusu ni CUF na CCM.Mkuu wale baba na babu zetu walokuwa nyuma ya zidumu fikra za mwenyekiti wa ccm wamezeeka na wengi wamefariki.
Kizazi cha nyerere kipo wapi, cha mwinyi kipo wapi na cha mkapa kipo hoi kwa umri cha kikwete ndicho hiki kinasuasua.
Kizazi kilichopo sasa, wengine hata Nyerere hawamjuwi na ccm yakweli ile ya Nyerere hawaijuwi, sasa hivi ni ccm ya wezi na wanafiki.
Endapo daftari litaboreshwa amini nakuambia huo ndio mwisho wa ccm kuitawala Tanzania.
Hata majambawazi wamesoma siku hizi. Suala kubwa ni uzalendo.Hivi nani anawadanganya kwamba lumumba watu hawajasoma...lumumba kuna timu imara yenye mchananyiko wa wasomi wakubwa na wasomi wa kawaida..pale std ni walinzi na mataipisti..ebu jiulize kama ni kweli wafuatao hawajasoma
1.philip mangula
2.kinana
3.mwiguru
4.asha rose migiro
5.nape
6zakia meghji
7.mohamed seif khatib....hivi hao hawajasoma?na wewe unayesema hawa hawajasoma uko wapi na umeifanyia nini Tanzania?