Nimefanya graphical interpolation, kwa exponential function napata wabonge kama 120 kwa CDM. Hii ina maana kwamba CDM wasilale. Hii ni zaidi kidogo sana ya nusu. Ila itakuwa safi sana, Ile dioooo itaisha. Lakini kama ruswa na uizi wa kura vikizibitiwa CCM watakuwa na hali mbaya sana. Hiyo chini ya nusu ni CUF na CCM.
correct if assumption to changes based under normal Daftari bila maboresho. Cdm itaweza vuna 120 ubunge
Endapo kutafanyika maboresho weka yafutayo kama bafa na factors for advance.
a) ongeza 20% of 120 kama wazee ambao hawataweza kwenda kupiga kura tena (maafa na uzee) hii ni gain kwa cdm maana hiyo ni loss kwa ccm na cdm inavijana zaidi siyo wakongwe.
b) ongeza 25% of 120 kama gain kwa chadema kwa maboresho ya daftari, vijana wengi watajiandikisha ambao ndio hasa wataka mabadiliko.
Tunaweza kuestimate wabunge wa cdm = 120 + 0.2 x 120 + 0.25 x 120
= 174.
Endapo wataboresha daftari na kuruhusu demokrasia cdm inaweza kupata wabunge zaidi ya 174 kwa mwaka 2015