Kigoma 2015
JF-Expert Member
- Sep 19, 2011
- 371
- 93
Hii ni zaidi ya kulala na Bundi.
CHADEMA kimepata pigo kubwa baada ya aliyekuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho Kata ya Mkuza Abdallah Maja kuhama chama hicho na kujiunga na CCM.
Maja pamoja na wanachama wengine wa CHADEMA akiwemo Yusuph Komba walirudisha kadi za Chama hciho kwenye mkutano wa hadhara wa Mwenyekiti wa CCM Kibaha Mjini Maulid Bundala uliofanyika Mkuza Kibondeni wilaya ya kibaha wakati wa ziara yake inayoendelea kwenye mji huo kuangalia utekelezaji wa Ilani ya Chama.
Akizungumza mara baada ya kuhamia CCM, Maja alisema kuwa kule Chadema hakuna lolote kwani siasa zake ni za kibabaishaji. "kule hakuna lolote zaidi ya ujanja ambao hautaweza kuleta maendeleo kwa wananchi. Mimi nilipata matatizo lakini walishindwa kunisaidia hadi nikasaidiwa na CCM, nimeona kuwa chama cha ukweli ni Cha Mapinduzi pekee" Alisema Maja.
Source: Majira jumatatu septemba 30, 2013. Ukurasa wa 10:
Baada ya Habari hiyo ya kusisimua napenda kumpa pole ya dhati kabisa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Bw. Freeman Aikaeli Mbowe kwa kufiwa na Ndugu yake Grace Aikaeli Mbowe, ambaye amefariki katika ajali ya Gari iliyotokea eneo la Kabuku Jana.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana Lihimidiwe. Pole mara mbili Mheshimiwa.
Juliana Shonza what is your problem?kufukuzwa kwako CHADEMA ni kutokana na usaliti wako,siyo kweli CHADEMA hamna lolote, lolote lipo mfano
1.CHADEMA imefanikisha General tyre Arusha haikuuzwa kwa maumvi.
2.CHADEMA imerudisha nizamu za uchangiaji wabunge zamani iliwakuwa wanaanza na kuwashukuru wake zao , sasa waziri au mbunge anaenda moja kwa moja kwenye point, unataka CHADEMA ikufanyie nini ndo uone ina lolote, utasubiri sana wewe mwanamke.

haishangazi watu wenye akili fupi kukimblia ccm! lakini pia njaa pamoja na ufupi wa akili waliyo jengewa na hiki chama cha kifisadi ndiyo kina fanya wahangaike wali wasijue wanachofanya
Kweli chadema wamejitahidi mpaka wameongeza na kipengele cha kupigana na kutukana bungeni safi sana chadema endeleeni kupigana na kutukana bungeni.Juliana Shonza what is your problem?kufukuzwa kwako CHADEMA ni kutokana na usaliti wako,siyo kweli CHADEMA hamna lolote, lolote lipo mfano
1.CHADEMA imefanikisha General tyre Arusha haikuuzwa kwa maumvi.
2.CHADEMA imerudisha nizamu za uchangiaji wabunge zamani iliwakuwa wanaanza na kuwashukuru wake zao , sasa waziri au mbunge anaenda moja kwa moja kwenye point, unataka CHADEMA ikufanyie nini ndo uone ina lolote, utasubiri sana wewe mwanamke.
Wajinga ndio waliwao..,wamesema waswahili na hawakukosea. Josephine aka mama junior anakausha hazina ya CDM kila kukicha kwa route zisizo za ajabu na kulala kwenye mahoteli ya kifahari bila title wakati wanaopiga kazi huko kwenye kata wanakufa njaa..... we July huyo jamaa ni mchumia tumbo kama wewe, angalia kauli yake eti "nilipata matatizo wakashindwa kunisaidia mpaka nikasaidiwa na ccm" unategemea mtu kama huyu atakaa chadema..!!?? sisi tunasaidia chama sio chama kugawa misaada, kwani imekuwa ccm ? yaani huyu asingetoka mwenyewe tungemtimua kama tulivyokufanya wewe...
...........................Mimi nilipata matatizo lakini walishindwa kunisaidia hadi nikasaidiwa na CCM, nimeona kuwa chama cha ukweli ni Cha Mapinduzi pekee" .................................
Safari inaendelea watabomoka sana mwaka huu mpaka tufike tuendako atabaki mtei,slaa na mbowe kwenye chama siyo vinginevyo.
we ndo hovyo kabisa..,haujui hata unaongea nini..Juliana Shonza what is your problem?kufukuzwa kwako CHADEMA ni kutokana na usaliti wako,siyo kweli CHADEMA hamna lolote, lolote lipo mfano
1.CHADEMA imefanikisha General tyre Arusha haikuuzwa kwa maumvi.
2.CHADEMA imerudisha nizamu za uchangiaji wabunge zamani iliwakuwa wanaanza na kuwashukuru wake zao , sasa waziri au mbunge anaenda moja kwa moja kwenye point, unataka CHADEMA ikufanyie nini ndo uone ina lolote, utasubiri sana wewe mwanamke.
Wajinga ndio waliwao..,wamesema waswahili na hawakukosea. Josephine aka mama junior anakausha hazina ya CDM kila kukicha kwa route zisizo za ajabu na kulala kwenye mahoteli ya kifahari bila title wakati wanaopiga kazi huko kwenye kata wanakufa njaa..
mods tafadhali naomba nitendewe haki,, natukanwa sana hapa.