Hakukuwahi kuwa na kiongozi wa Bavicha mwenye jina hilo Pale Hai , kuna kitu hukijui kuhusu huu utapeli , ni hivi , ndani ya chama chako kuna kikundi cha matapeli wanaopiga mpunga kwa kuleta viongozi feki wa Chadema , hii inatokana na Makao Makuu ya ccm kujaa viongozi WASHAMBA , hii ni kama wajanja walivyomtumia Makonda kuingiza mizigo bila kulipa ili wapige hela ( hapa sizungumzii makontena , huu ni mzigo mdogo sana ) ndio maana wapambe wa Makonda kama Le Mutuz na Jerry Murro wanakula bata daily.
Endelea kushangaa huku wenzako wanatumia ushamba wa viongozi kujineemesha , siku Magufuli akija kustuka atashangaa sana !