CHADEMA yazidi kubomoka

CHADEMA yazidi kubomoka

i) Aliyekuwa mkurugenzi wa mafunzo CHADEMA Taifa, Loyce Giboma amejivua uanachama wa chama hicho na kutangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi

ii) Mwenyekiti wa BAVICHA Wilaya ya HAI Ndugu Joachim Mbowe amejivua uanachama na nyadhifa zake zote ndani ya chama hicho na kutangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi

#NyumbaniKumenoga
Huyo Joachim Mbowe asije akawa ametumwa na mbowe!!
 
i) Aliyekuwa mkurugenzi wa mafunzo CHADEMA Taifa, Loyce Giboma amejivua uanachama wa chama hicho na kutangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi

ii) Mwenyekiti wa BAVICHA Wilaya ya HAI Ndugu Joachim Mbowe amejivua uanachama na nyadhifa zake zote ndani ya chama hicho na kutangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi

#NyumbaniKumenoga
Kuhama kwake kunarudisha gesi Ccm walioiba nchini kwetu?
 
Njooni na propaganda nyingine, hatujawahi kuwa na viongozi hao uliowataja! MASIGA naona unakuja kwa kasi sana. Inaonekana ulikuwa na ID nyingine baada ya kuona umeelemewa ukaja na ID hii ya kishog***
 
Vyama vya siasa ni itikadi philosophy na sera ndo zinazo vuta wanachama kujiunga kwahiyo chama hakiwezi kufa kwajiri ya mwana chama kukuhama wakati itkadi ya chama iko palepale, hata hakihama Mbowe chama kitabaki na wanachama wapya wataibuka. Kuna mifuano mingi tu.
Umesema ukweli. Tuwatakie maisha mema huko waendako. Mimi mara zote ninaposikia mtu anatoka upinzani kwenda kwenye chama tawala, huwa naona uamzi huo kuwa chanya, na pindi wapatapo madaraka makubwa huko watasaidia kupanda mbegu ya "uvumilivu" kwa wanaccm kindaki ndaki. Mimi naamini waheshimiwa kama, Kafurila, . Patrobasi, Dr. Wilbroad Slaa, Mtatiro, Prof. Kitila Mkumbo, Manchari na wengine wengi hawezi kuwa wabaya kiasi cha kutaka mpinzani auwawe kwa sababu za kisiasa. Hilo hawatalishabikia achilia mbali kulifanya. Ninamshangaa sana Mhe. Waitara, kwa maana amebeba chuki na anajitahindi kupanda mbegu mbaya ili upinzani nchini upatilizwe na ufe!!
 
Sasa kama huyo mchumia tumbo atakuwa mkurugenzi wa mafunzo Na Benson Kigaila atakuwa Nani Sasa?Hizi story za abunuwasi utazipata fisiem tu maana wapo vichaa wanajifurahisha wakiingozwa Na kichaa mkuu...
Maneno unayoyatumia hauutendei haki upinzani, ni uchokozi ambao unaweza kutuumiza sisi. Mbona tunayo mambo mengi ya kufanya na kusema ambayo yanaweza kutuvusha katika hali tete tuliyonayo?. Maneno aliyoyatumia Mhe. Rais nitafsida, hakutaka kujikweza. Angeweza kutumia " msimamo mkali, watu majasiri, wapambanaji, wababe" tuache kurukia maneno yasiokuwa na tija na ya siyosaidia kututoa hapa tulipo.
 
Vyama vya siasa ni itikadi philosophy na sera ndo zinazo vuta wanachama kujiunga kwahiyo chama hakiwezi kufa kwajiri ya mwana chama kukuhama wakati itkadi ya chama iko palepale, hata hakihama Mbowe chama kitabaki na wanachama wapya wataibuka. Kuna mifuano mingi tu.
thru
 
Uzuri kila anayehama Chadema lazima ajitundikie vyeo vinavyosikika angalau. Mkurugenzi wa mafunzo teh teh teh

Huyo atakuwa ni "Kichaa kichaa hivi"
 
Chadema jiulizeni kwa nini?hata mkipewa Inch mtauza kama kweli mnanunuliwa na mnakubali
Nyie mbona mmeuza siku nyingi! Wazungu mmewapangia hotelini kwa ajili ya makanikia, mmeliwa hela,mchamga mmewapa na mmeshtakiwa
 
Na wahame wote,upinzani hauna watu waadilifu wanaopaswa kuwa viongozi hapo baadae,labda wakihama wote wakabaki wanaojielewa wasio wachumia tumbo tunaweza kupata upinzani thabiti!
 
i) Aliyekuwa mkurugenzi wa mafunzo CHADEMA Taifa, Loyce Giboma amejivua uanachama wa chama hicho na kutangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi

ii) Mwenyekiti wa BAVICHA Wilaya ya HAI Ndugu Joachim Mbowe amejivua uanachama na nyadhifa zake zote ndani ya chama hicho na kutangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi

#NyumbaniKumenoga
Mwandishi wa uzi huu yupo sahihi kuchagua upande. Serikali ya ccm inafanya kosa kubwa kwa kuamua kuua upinzani nchini. Madhara ya unaloshabikia yako njiani na mtayaona baadaye.
Kwenye vita ndivyo inavyokuwa: unamkabili adui yako kwa silaha uliyo nayo bila kujali ni majeruhi labda kama akisalimu amri.
Ila kuna mambo ya kukumbuka:
>nchini kuna vyama vya upinzani 10+. Ikiwa cdm si tishio, mbona hamhangaiki navyo?
>mashindano yanataka kufuatwa kwa sheria za mchezo, na
>vinashindanishwa viwango sawa.
Ni utaahira kwa mchezaji wa ngumi kujigamba ameshinda pambano kati yake na mwingine aliyefungwa mikono.
 
ccm huu ujinga utawaisha lini?? Mkurugenzi wa mafunzo chadema Taifa mnamjua ?? yaani kila anayekuja kuwapiga hela lazima ataje cheo cha Taifa... mkurugenzi wa mafunzo chadema ni mmoja tu , naye ni Benson Kigaila...sasa acha wawapige hela hvyo hvyo maana ninyi ni mapimbi
 
Back
Top Bottom