Chadema yaweweseka kipigo cha mdc

Chadema yaweweseka kipigo cha mdc

Kuna wa2 jaman neno 'chadema' inawachanganya sana.kikwete na pinda wlisema, 'chadema inatunyima usingizi.na wewe uliepost hii habari unaonekana usiku hukulala kwa kukosa usingiz coz of cdm. So bado unausingiz mpaka now.cdm inahusika vp na uchaguz wa nje? Kwan mdc ndo wafadhili wa cdm? Kwa taarifa tu ni kwamba, cdm imejipanga zaidi kuliko mdc,nenda kamwambie pinda kuwa cdm wamejipang na kuanguka kwa mdc hata hawajatetereka,
 
:A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1:
 
Cdm kimeanza kuweweseka baada ya chama kilichokua kina sera kama zake kupigwa mweleka na chama tawala . Chadema kimezoea kukimbilia kwa wakolonI kulalamika kama kinaonewa kama ilivyokua mdc hadi zimbabwe ikawekewa vikwazo lakini wananchi wamekisusa hivyo cdm wasiwe wakawa kama alinacha anakata tawi alilokalia nazani matokeo unayajua, kwa strategy cdm walizonazo kwa ss kama hawatabadilika is like mdc 2015

Watanzania sometime ni wapumbavu kweli kila chaguzi za nje zinapofanyika vyama vinavyoshinda wanajifananisha na Ccm na vinavyoshindwa ni Cdm,ni sawa na watoto wadogo kila akiona gari anasema yangu wakati baba yake hana hata baiskeli

Ni aibu ccm kujifafanicha na chama cha dictator Mugabe aliyekaa madarakani kwa miaka 33 ndio ccm na wanataka wakae ikulu milele kwa sababu nyie ndio watawala wazuri au?

Ni siasa mufilisi kijilinganisha na nchi zingine wakati wa uchaguzi sijui utoto utawaisha lini
 
M4c imekopiwa kutoka mdc
ajabu mtoa mada ni wewe wa kwanza kuchangia ni wewe

kwa ushauri tu huwezi linganisha Tz na Zimbabwe nchi inaongozwa na mtu mmoja kwa miaka 33 nchi yenyewe ilipata uhuru juzi tu
 
CCM kila kitu mnageuza propoaganda....kuna siku kiongozi wa nchi flani atacheka...mtakuja kusema CDM wafurahi jinsi kenyata alivyocheka jana.....sio kitu ni propaganda....
 
mnahangaika bure tu wambieni ccm turudi Arusha tena
 
alafu wamlete babu yao MUGABE awabebe. si wanapenda kubebwa?
 
:clap2:chadema kinazidi kupanda chati
 
Cdm kimeanza kuweweseka baada ya chama kilichokua kina sera kama zake kupigwa mweleka na chama tawala . Chadema kimezoea kukimbilia kwa wakolonI kulalamika kama kinaonewa kama ilivyokua mdc hadi zimbabwe ikawekewa vikwazo lakini wananchi wamekisusa hivyo cdm wasiwe wakawa kama alinacha anakata tawi alilokalia nazani matokeo unayajua, kwa strategy cdm walizonazo kwa ss kama hawatabadilika is like mdc 2015

una miaka mingapi mkuu??
 
Nimemwona Membe akiongea Kama sehemu ya wasimamizi wa uchaguzi. Hakusema moja kwa moja kwamba uchaguzi ni huru na umefanyika kwa uwazi bali amezunguka mbuyu na kusema chaguzi kote DUNIANI zinachangamoto zake na gharama ya kurudia uchaguzi ni kubwa. Nisahihishwe Kama nakosea kusema kwamba wanasiasa wetu walio ndani ya chama tawala wanaongoza kwa mbinu za kuchakachua kura. Hii inaiimarishwa na kutokua na "moral values" ambazo zinampa Mtu makatazo ya kutotenda isivyo haki.
 
Katika mojawapo ya uchaguzi ambao nimeuona ni wa ajabu ni huu wa Zimbabwe. Hivi mtu ambaye akili yako haina matatizo yoyote unaweza waunga mkono ZANU kumsimamisha mgombea ambaye hata uwezo wa kufikiri umeshuka kutokana na umri? Nakuuliza ww ulianzisha post hii.

Halafu unapost hapa eti CHADEMA wameona!!!! hizo results!!! WHO ARE CDM anyway? Ni WATANZANIA siwezi mdharau MTANZANIA mwenzangu labda kama ni mwizi au mfitini katika jamii, nitamdharau.

Acha unafiki na ushabiki wa kijinga unachotakiwa kufanya ni kuungana kwa pamoja na wewe wenzako kulitumikia TAIFA letu kwa uaminifu sio kuleta ushabiki na uadui usio na maana. Sio bendera fuata upepo. Nakumbuka kuna watu makini waliwahi sema kuwa tuna haja tuwe na Ktiba Mpya, mliwabeza sana hapa online. Lakini siku JK aliposema naafiki mawazo yao, ghafla tuliona wote hata wappingaji wakiimba wimbo wa Katiba Katiba Katiba, unaonesha umo kwenye kundi hilo huna mawazo ya kujitegemea. UKUBWA SIO KUOTA NDEVU MBONA HATA MBUZI ANAZO, UKUBWA NI MABADILIKO KICHWANI

Mimi sijali nani yuko IKULU maadamu ni MTANZANIA sina ugomvi nae, kinachotakiwa ameenda ikulu akiwa na agenda. Kama hana agenda ni sawa na sanamu. Ww uliyeanzisha post hii unatakiwa uwe na uwanja mpana wa kufikiri. Jenga Taifa usipandikize chuki. Siku nyingine tumia mifano ya mataifa ambayo tulikuwa sawa kimaendeleo wakati tunapata uhuru, lkn leo wamnatupiga fimbo kali kuliko maelezo yangu haya. BADILIKA
 
Back
Top Bottom