Mashamba
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 418
- 103
Cdm kimeanza kuweweseka baada ya chama kilichokua kina sera kama zake kupigwa mweleka na chama tawala . Chadema kimezoea kukimbilia kwa wakolonI kulalamika kama kinaonewa kama ilivyokua mdc hadi zimbabwe ikawekewa vikwazo lakini wananchi wamekisusa hivyo cdm wasiwe wakawa kama alinacha anakata tawi alilokalia nazani matokeo unayajua, kwa strategy cdm walizonazo kwa ss kama hawatabadilika is like mdc 2015
unafananisha usingizi na kifo, kapate uhuru moja uamshe akili.