- Thread starter
- #241
Hadi nitakapoyasoma mabadiliko yenyewe ndipo nitakapoweza kuchangia lolote. Kwa habari nilizozipata ni kwamba wajumbe wetu wamekubali kupokea hata kile kidogo tulichopewa maana haikuwezekana kushindana na CCM wakubali mapendekezo yetu, hivyo mapendekezo mengi ya sheria ya katiba bado yanawalinda CCM na viongozi wake. Kama ndivyo, hatujashinda kitu, vita bado kabisa inaendelea, kilichotokea ni kuweka uwanja safi kwa mapambano..
Ni kweli Mkandara tulichokipata si haba.Kuweka uwanja safi wa mapambano ni hatua muhimu.