CHADEMA yavuna wanachama wapya Mbeya Vijijini (ktk picha)

CHADEMA yavuna wanachama wapya Mbeya Vijijini (ktk picha)

One two

Member
Joined
May 27, 2013
Posts
95
Reaction score
36
Katika Kuendelezo kampeni zake za kijiji kwa kijiji, ofisi ya CHADEMA mbeya vijijini leo imefanya mkutano wake katika kijiji cha IPINDA kata ya IHANGO ambapo chama kimefanikiwa kujivunia wanachama wapya zaidi ya hamsini.
kijiji hicho ambacho kilikuwa ni ngome ya CCM na kupelekea kutoa matokeo mabovu katika uchaguzi mkuu uliopita kimebadilika kutokana na wanachi kutolidhishwa na viogozi wa ccm kuanzia ngazi ya kitongoji mpaka uraisi, katika malalamiko yao mbele ya uogozi wa wilaya wa chama cha demokrasia na maendeleo mbeya vijijini wananchi hao wamemtupia lawama na kutoa madhaifu kibao ya mbunge wa jimbo la mbeya vijijini MCHUNGAJI MWANJALE, wanachi wamedai ahadi zote alizo ziahidi haja timiza zaidi ya kuwapa mpira mmoja vijana kwa ajili ya michezo na shilingi elfu hamsini kuwapa wakina mama kama kifuta jasho kwa ajili ya kazi nzito ya kutengeneza barabara ambalo ni jukumu la halmashauri na vitu alivo toa sio mahitaji ya wanakiji hao kwani wao wanataka shule, barabara. hospitali, maji ambavyo yeye aliahidi.

Mwana kijiji mmoja mwanamke ( kwenye picha akiongea) amedai hawata kuja kuludia makosa waliyo yafanya kuwapa dhamana viongozi wa CCM kwani mpaka sasa mchango wa shule kila mwana kijiji ametoa sh 40,000 bado 10,0000, shule ya msingi ipo kilomita 20 toka kijijini hapo, maji hakuna na wanatumia kisima kilichopo katika bonde la SIMWAMBALATU ambapo hata mifugo inategemea maji hayo, mchango wa sh 2000 kila mwezi kwa ajili ya kuwalipa walimu wanao fundisha shule jilani na kijiji, kitendo cha kuhamishwa kata bila majadiliano na wanakijiji hao na kitendo cha mbunge wao kuongea mambo yasiyo yamsingi bungeni na kuacha kuhoji juu ya matatizo makubwa yanayo wakabiri wanachi wa jimbo hili ni moja kati ya sababu chache zilizo wafanya waachane na CCM. wanachama hao wameapa kuto ludia katika siasa za CCM ambazo hazina matumaini kwa maisha yao yajayo.

Wakinamama, vijana kwa wazee wameungana na mabadiliko ya kweli kijijini IPIDA.
PICHA UONGOZI WA WILAYA CHADEMA MBY V, UONGOZI WAKITOA KADI KWA WANACHAMA WAPYA TOKA CCM (MWENYEKITI WILAYA CHADEMA ELIA KAOLILE WAKISADIANA NA MAKATIBU WAKE JAMES MPALAZA NA MR MWASENGA, na picha zingine za tukio hilo.)



















 
Alikuja hapa yule muwongo wa CCM Le Mutuz na kudai kuwa wamevuna wanachama lukuki kutoka Chadema. Yuko wapi leo?
 
Nani alisema ukombozi ni mjini tu, saa ya kunyolewa lazima kukaa, nani amenyolewa akiwa amesimama?? acha CCM ikae
 
...afadhali hata watu wanaishi miji,hawa wa vijiji mimi nadhani ndo wanaitaji ukombozi wa haraka,kugombania maji ya kunywa na mifugo ni jambo la fedheha sana...
 
Nimeifahamu Mbeya kwa muda mrefu sasa. Huu ni mkoa hatari sana kwa CCM. CHADEMA ikifanya kazi vizuri itang'oa majimbo yote hata yale ya MWANDOSYA na MWAKYEMBE.
 
Hizo kadi siku hizi hazina maana, watu wanachukua kadi afu wanazipaki tu. Siku ya uchaguzi ni ccm lazima iwepo njia bora ya kujitathmini na sio wingi wa watu mikutanoni wala uchukuaji wa kadi. Kama ni kadi hata mimi ninayo ya cdm ila siilipii ipo tuu.
 
Naona kama ni kikao cha familia, ndio machadema mnaanzishia thred
 
Taarifa na matukio ya kuungaunga ndio mtaji mkuu kwa machadema. Hapa ilikuwa kikao cha familia wameona wajipige picha ku counter tetemeko na kimbunga cha mwenyekiti wa wazazi ccm alichokipitisha juzi na kuzoea mamia ya wafuasi wa wamwagia tindikali
 
Nimeifahamu Mbeya kwa muda mrefu sasa. Huu ni mkoa hatari sana kwa CCM. CHADEMA ikifanya kazi vizuri itang'oa majimbo yote hata yale ya MWANDOSYA na MWAKYEMBE.

watu wa mbeya hawawezi kuunga mkono walisha watu sumu, wamwagia tindikali na walipua mabomu
 
Hizo kadi siku hizi hazina maana, watu wanachukua kadi afu wanazipaki tu. Siku ya uchaguzi ni ccm lazima iwepo njia bora ya kujitathmini na sio wingi wa watu mikutanoni wala uchukuaji wa kadi. Kama ni kadi hata mimi ninayo ya cdm ila siilipii ipo tuu.
inawezekana huawahi kufika katika vijiji, napenda kukwambia mtu akichukua kadi kiijini sio kama mjini hawa wameamua na inawezekana huijui historia ya kisiasa mby vijijini watu walikuwa hawataki hata kusikia CHADEMA lakini sasa ndo umekuwa wimbo wao wa taifa, kuchukua kadi kwa watu hasa wa vijijini ktk jimbo hili ni ishara tosha kuwa CCM lazima wakae 2014 na 2015
 
Naona kama ni kikao cha familia, ndio machadema mnaanzishia thred
Ungeuliza kiiji kizima kina watu wangapi ingekusaidia, na hapo tulipo ndo town kwa kijijini, MIMI NITAKULETEA HABARI ZA JIMBO HILI KWA MIKUTANO HIYO HIYO UNAYO IITA KIKAO CHA FAMILIA MANA NIPO KIJIJINI NA NDO JIMBO LANGU NINGEKUSHAURI NA WEWE ULUDI KWENYE ASILI YAKO NA SIO UNATULETEA HABARI ZA MIJINI AMBAPO SIO KWAKO KIASILI
 
so fun,watu wa chadema ni hatari sana kwa propaganda,na fikra zao ni udini,ukabila na ukanda,hata chuki zenu kwa kikwete tatizo kubwa ni huo udini na ukabila,lakini kuweni makini ukianza watu wanamaliza ,hata huyo padre wenu mnaompigia upatu hatofanikiwa kama akiwa fikra za ukristo tu,nchi hii ni watu wote Na wala si chadema,ccm,cuf n.k,kumbuka kuwa unayemjua ni bora kuliko usiyemjua,mnaandika sana,mnatukana sana,na wakati mwingine mnajihisi mmeshinda kwakuwa kutwa mko kwenye mitandao na post gabagges and shits,nchi hii ina watu million 45,msijidanganye ,na akili zenu hazitaki subiri muone uchaguzi ukifika,kuandika humu sio tatizo tunajua kuwa wale wote waliofukuzwa mashuleni,vyuoni kwa utovu wa nidhamu huishia upinzani hasa chama kinachohubiri udini hata viongozi wake ni viongozi wa dini,wote tunawajua au nawajua,hata mtu akifukuzwa kazini kesho yuko upinzani,kuweni makini sana watz mambo bado sana kwa waropokaji
 
vipi umamaliza kulopoka?? au unaendelea maana nataka kukujibu sasa:lalala::lalala:
 
Back
Top Bottom