CHADEMA yavifunika vyama vyote vya siasa nchini

CHADEMA yavifunika vyama vyote vya siasa nchini

Ni kweli Mkuu Chadema ni Chama kinachoangaliwa zaidi. kwa jicho la karibu a Mamilioni ya Watanzania na nchi jirani, Watanzania kwa ujumla wanajiuliza Kwann Chadema kama cha Upinzani kinapitia ktk hali hii? Lakini ni lazima kipitie Milima na Mabonde ili kiwe Strong, Maana Taasisi iliyopata matatizo kama Chadema ni chache zilizobaki,
 
Mkuu unatokwa na povu bure! viongozi wenu wamesema wana ushahidi wa DVD inayomuonyesha muuaji, kwanini hawaipeleki panapohusika ili ajulikane? na sheria ichukue mkondo?

...mpaka wenyewe kwa wenyewe mnachinjana..? R.I.P Dr mgimwa, maccm hayana fadhila...
 
Mimi nitaomba mwongozo bungeni
baada ya bunge la Katiba,
"Mheshimiwa Naibu Spika hivi
karibuni nchi yetu imeshuhudia
mgogoro ndani ya chama kikukuu cha upinzani hapa
nchini,mheshimiwa Spika katika
majibizano ya Naibu katibu mkuu
aliefukuzwa ndani ya chadema Mh
Zitto kabwe,alitoa kashifa kubwa
juu ya Mwenyekiti wa chama chake ambae ndie Kiongozi wa
Upinzani hapa bungeni kwa
kupolea hongo kutoka kwa
Mheshimiwa Nimrod Mkono zaidi
ya milioni 300 na pia milio 200
kutoka kwa Rostam Aziz,lakini pia kiongozi huyu yani Mheshimiwa
Mbowe amehusishwa na kashifa
ya rushwa kwenye mashirika ya
umma yani NSSF na pia ukwepaji
kodi ndani ya NHC,lakini pia
amehusishwa na Waziri Mkuu Mstaafu Mh Sumaye na Ngugu
Kinana kwenye kashifa hiyo
mwaka 2005,lakini pia Mh Mbowe
amepatikaba na Kashifa ya
kumkatiza Mh Mbunge Munkya
safari ya kiofisi na kumuita aende Dubai,hoja yangu Mheshimiwa
Naibu Spika naomba mwongozo
wako juu ya tuhuma hizi kwa
Kiongozi huyu Mkuu wa Kambi ya
upinzani kuchafuka,je bado ana
sifa za kuendelea kuwa Kiongozi wa kambi ya upinzani hapa
bungeni? Naomba Muungozo wako
Mheshimiwa Naibu Spika!
 
Vyombo vya habari iwe gazegti, Tv, Radio ama mitandao ya kijamii isipotaja neno Chadema katika habari yake haitauzika.
Sasa kwa namna hii huoni kuwa hiki chama cha chadema ni maarufu kuliko bidhaa yeyote Tanzania?
 
Mimi nitaomba mwongozo bungeni
baada ya bunge la Katiba,
"Mheshimiwa Naibu Spika hivi
karibuni nchi yetu imeshuhudia
mgogoro ndani ya chama kikukuu cha upinzani hapa
nchini,mheshimiwa Spika katika
majibizano ya Naibu katibu mkuu
aliefukuzwa ndani ya chadema Mh
Zitto kabwe,alitoa kashifa kubwa
juu ya Mwenyekiti wa chama chake ambae ndie Kiongozi wa
Upinzani hapa bungeni kwa
kupolea hongo kutoka kwa
Mheshimiwa Nimrod Mkono zaidi
ya milioni 300 na pia milio 200
kutoka kwa Rostam Aziz,lakini pia kiongozi huyu yani Mheshimiwa
Mbowe amehusishwa na kashifa
ya rushwa kwenye mashirika ya
umma yani NSSF na pia ukwepaji
kodi ndani ya NHC,lakini pia
amehusishwa na Waziri Mkuu Mstaafu Mh Sumaye na Ngugu
Kinana kwenye kashifa hiyo
mwaka 2005,lakini pia Mh Mbowe
amepatikaba na Kashifa ya
kumkatiza Mh Mbunge Munkya
safari ya kiofisi na kumuita aende Dubai,hoja yangu Mheshimiwa
Naibu Spika naomba mwongozo
wako juu ya tuhuma hizi kwa
Kiongozi huyu Mkuu wa Kambi ya
upinzani kuchafuka,je bado ana
sifa za kuendelea kuwa Kiongozi wa kambi ya upinzani hapa
bungeni? Naomba Muungozo wako
Mheshimiwa Naibu Spika!

kama naota vile.
 
naona mkuu tujitegemee , umeeleza hali halisi ambao wote inabidi watambue hivyo , hata zitto akianzisha chama ni ngumu kukubalika kwani yeye atakuwa maarufu na chama je? , maisha ya chama yatakuwa mafupi mno , big up mkuu kwa kuwafumbua macho ambao wengine mpaka sasa hawajazinduka
 
mbona iko wazi , mbona mimi nina mkakati wa kuhakikisha kwamba JUKWAA LA SIASA linachange na kuwa JUKWAA LA CHADEMA ! Maana huo ndiyo ukweli halisi .
 
Chadema iko moyoni kwa wananchi kwani Tz bila mabadiliko ya uongozi maisha bora yatakuwa ni ndoto kwa wengi.
 
mbona iko wazi , mbona mimi nina mkakati wa kuhakikisha kwamba JUKWAA LA SIASA linachange na kuwa JUKWAA LA CHADEMA ! Maana huo ndiyo ukweli halisi .

wewe binti unamatatizo sana.zito ni zaidi ya wabunge wote wa chadema
 
Hakika cdm ni chama cha upnzani na kimeonyesha nia ya kuwakomboa watnzania yatupasa tukipongeze na kukiunga mkono 2014/2015
 
Chadema imebaki kwenye social media tu...😀
 
Chadema mpango wa mungu,viva chadema chadema go go go go go go go go
 
Mimi nitaomba mwongozo bungeni
baada ya bunge la Katiba,
"Mheshimiwa Naibu Spika hivi
karibuni nchi yetu imeshuhudia
mgogoro ndani ya chama kikukuu cha upinzani hapa
nchini,mheshimiwa Spika katika
majibizano ya Naibu katibu mkuu
aliefukuzwa ndani ya chadema Mh
Zitto kabwe,alitoa kashifa kubwa
juu ya Mwenyekiti wa chama chake ambae ndie Kiongozi wa
Upinzani hapa bungeni kwa
kupolea hongo kutoka kwa
Mheshimiwa Nimrod Mkono zaidi
ya milioni 300 na pia milio 200
kutoka kwa Rostam Aziz,lakini pia kiongozi huyu yani Mheshimiwa
Mbowe amehusishwa na kashifa
ya rushwa kwenye mashirika ya
umma yani NSSF na pia ukwepaji
kodi ndani ya NHC,lakini pia
amehusishwa na Waziri Mkuu Mstaafu Mh Sumaye na Ngugu
Kinana kwenye kashifa hiyo
mwaka 2005,lakini pia Mh Mbowe
amepatikaba na Kashifa ya
kumkatiza Mh Mbunge Munkya
safari ya kiofisi na kumuita aende Dubai,hoja yangu Mheshimiwa
Naibu Spika naomba mwongozo
wako juu ya tuhuma hizi kwa
Kiongozi huyu Mkuu wa Kambi ya
upinzani kuchafuka,je bado ana
sifa za kuendelea kuwa Kiongozi wa kambi ya upinzani hapa
bungeni? Naomba Muungozo wako
Mheshimiwa Naibu Spika!

Hata huko lumumba fc hujataja neno Chadema hamna malipo,
Big up Chadema We trust in you into true liberation 2015.
 
Back
Top Bottom