CHADEMA yatoa Mchango wa Damu Muhimbili

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili bado inakabiliwa na upungufu mkubwa wa damu kuweza kusaidia wahitaji wanaofika katika Hospitali hiyo ya rufaa,ambapo imesema,wakati mahitaji halisi kwa siku yakiwa ni yuniti 80 mpka 100,ni yuniti 20 mpaka 40 pekee zinapatikana kutokana na njia ikiwamo ya ndugu wa muhusika,kutakiwa kumtolea damu mgonjwa wao.

Upungufu huo umebainishwa na Afisa Uhusiano wa Hospitali hiyo,NEEMA MWANGOMO,wakati wa zoezi la kujitolea damu katika hospitali hiyo lililoendeshwa na Chama Cha Demorasia na Maendeleo,Dar Es Salaam kuu, ikiwa ni kuuunga mkono makundi mbali mbali ya wahitaji wakiwemo akina mama,watoto na wanaogua saratani.

Afisa Uhusiano huyo aidha ametoa wito kwa wananchi mmoja mmoja,makundi ama taasisi,kujitokeza kujitokeza kujitolea damu kuweza kusaidia makundi hayo, hususani kipindi inapoendesha zoezi la upasuaji moyo watoto kwa ushirikiano na wataalamu kutoka Saudi Arabia.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Chadema Dar Es Salaam kuu,HENRY KILEO,ametoa wito kwa vyama vingine vya siasa kuwa na utaratibu wa kuhamasishana kujitolea damu kuokoa maisha ya wananchi,kama vile wanavyohamasishana wakati wa kampeni.
 
Attachments

  • damu.jpg
    damu.jpg
    17.7 KB · Views: 41
Sijaona huo mchango wa damu wa Chdema wametoa yuniti ngapi?
 
Damu ya chadema sitaki hata siku moja kwa maana ni virusi tupu, fikiria tu wanavyozungukana kwenye viti maalumu kila mmoja kampitia mwingine!
Kuchukuwa Damu ya chadema ni kama kujitundika kamba!
 
Hongera. As usual...mnaanza ccm wanafuatia...kama si wizi kwa kutumia vyombo vya dola wangeisoma number toka 11/2015.
 
Damu ya chadema sitaki hata siku moja kwa maana ni virusi tupu, fikiria tu wanavyozungukana kwenye viti maalumu kila mmoja kampitia mwingine!
Kuchukuwa Damu ya chadema ni kama kujitundika kamba!

unamaanisha damu inayotolewa haipimwi kabla ya kuwelewa mgonjwa? Ficha ujinga...kijijengea heshima.
 
Huenda wanaiga kutoka CCM
 
Damu ya chadema sitaki hata siku moja kwa maana ni virusi tupu, fikiria tu wanavyozungukana kwenye viti maalumu kila mmoja kampitia mwingine!
Kuchukuwa Damu ya chadema ni kama kujitundika kamba!
Damu hutaki kuwekewa lakini ile michezo mnaochezaga hapo nchi jirani ni sawa
 
Chadema mnaposema mmetoa damu ni vizuri tuone hao watoa damu wa Chadema si mmehamua kulitangaza hili, tuwajue wote waliotoa damu.
 
Naomba hiyo damu nisiongezwe nayo please naomba nimeshasema naogopa kupata cougulopathy coz nina allergy na chadema , please naogopa kupata haemolysis nisije nikafa naomba wapewe tu chadema ,noooo jamani sipo serious natania hiyo damu itasaidia maisha ya watu ,ongera kwa chadema sasa naona haja ya ccm kufanya kama chadema , asante sana tena na tena cdm mmeonyesha hata kwa siku moja utashi wa akiri
 
Back
Top Bottom