Mamia ya wakazi wa mji wa Ngara na vitongoji vyeke jana walijitokeza kuhudhuria mkutano wa hadhara ulioandaliwa na Chadema mjini Ngara
Kabla ya kuanza kw amkutano huo maandamano yaliyoshirikisha vyombo mbalimbali vya usafiri kuanzia, baiskeli pikipiki hadi magari yalizunguka maeneo mbalimbali huku wakihamasisha mkutano huo
Mkutano huo unaelezwa kukusanya idadi kubwa zaidi ya wakazi wa wilaya ya Ngara ambayo haijawahi kuonekana katika miaka ya hivi karibuni
Kama ilivo ada kwa wafuasi wa chadema, mavazi ya kaki maarufu kama kombati yalikuwa yametawala katika viwanja hivyo vya posta ya zamani mjini Ngara
Aidha jeshi la Polisi kw aupande wake lilikuwa limejiandaa kuimarisha ulinzi,ambapo landcruiser yenye askari wa kutosha wakiwa tayari kuimarisha usalama kiwnajani hapo
Awali mwenyekti wa chadema wa wilaya bw Hosea Chiza alieleza kuw achama hicho kimepata zaidi wananchama 400 NCCR mageuzi na CCM wamejiunga kattika mikutano mitano uiliyofanyika katika maeneo mbalimbali
Akitoa salaam katika mkutano huo kada wa Chaedma kutoka wilaya ya chato bw Crispin kagoma alisema wananchi wanapaswa kusoma alama za nyakati kama njia ya kuboresha maisha yao
Alisema gharama za maiasha zinazidi kuongezeka kila kukicha hali inayowaathiri wananchi na kuongeza wakati umefika wa kuchagua chama ambacho kitaboresha maiasha yao
Kada mwingine Bw Fred Sali Lukaga kutoka Mwanza alisema wananchi wa Ngara waige wenzao wa Mwnza ambao wameamua kuichagizi chadema
Amesema hata ya maisha ya wananchi wa tanznaia iko mikonojni mwao kwa kufanyya uchaguzi sahihi
Baadhji ya viongozi walioshiriki ni mwneyekiti wa mkoa bw Wilfred lwakatere, katbu wake Bi Konchesta Lwamlaza, mbunge Biharamulo magharibi Dr Anthony Mbasa, mwenyekiti wa wilaya ya karagwe w achedma Bw Gregory kabone na mwenyekiti wa chedma manisa ya Bukoba Bw Victor Sherejei
Aidha kuna tetesi kuwa wabunge maarufu wa chadema wamekataa kuhudhuria mikutano hiyo ya kuimarisha chama wilayani Ngara ikidaiwa kwamba walitaka kulipwa pesa za mafuta ili wasafiri kufika huko
Mamia ya wakazi wa mji wa Ngara na vitongoji vyeke jana walijitokeza kuhudhuria mkutano wa hadhara ulioandaliwa na Chadema mjini Ngara
Kabla ya kuanza kw amkutano huo maandamano yaliyoshirikisha vyombo mbalimbali vya usafiri kuanzia, baiskeli pikipiki hadi magari yalizunguka maeneo mbalimbali huku wakihamasisha mkutano huo
Mkutano huo unaelezwa kukusanya idadi kubwa zaidi ya wakazi wa wilaya ya Ngara ambayo haijawahi kuonekana katika miaka ya hivi karibuni
Kama ilivo ada kwa wafuasi wa chadema, mavazi ya kaki maarufu kama kombati yalikuwa yametawala katika viwanja hivyo vya posta ya zamani
Aidha jeshi la Polisi kw aupande wake lilikuwa limejiandaa kuimarisha ulinzi,ambapo landcruiser yenye askari wa kutosha wakiwa tayari kuimarisha usalama kiwnajani hapo
Awali mwenyekti wa chadema wa wilaya bw Hosea Chiza alieleza kuw achama hicho kimepata zaidi wananchama 400 NCCR mageuzi na CCM wamejiunga kattika mikutano mitano uiliyofanyika katika maeneo mbalimbali
Akitoa salaam katika mkutano huo kada wa Chaedma kutoka wilaya ya chato bw Crispin kagoma alisema wananchi wanapaswa kusoma alama za nyakati kama njia ya kuboresha maisha yao
Alisema gharama za maiasha zinazidi kuongezeka kila kukicha hali inayowaathiri wananchi na kuongeza wakati umefika wa kuchagua chama ambacho kitaboresha maiasha yao
Kada mwingine Bw Fred Sali Lukaga kutoka Mwanza alisema wananchi wa Ngara waige wenzao wa Mwnza ambao wameamua kuichagizi chadema
Amesema hatma ya maisha ya wananchi wa tanznaia iko mikonojni mwao kwa kufanyya uchaguzi sahihi