chitambikwa
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,941
- 903
Habari nzuri ila sio ya uhakika!, wamelenga kupata wanachama 2000 au wamepata wanachama 2000? Halafu rekebisha, kobero ni Burundi.
Pipozzz ....pa pappaa pawaaaaa
Kichwa cha taarifa hii kinapotosha, hao wanachama hawajapatikana. Ni malengo tu. Tujaribu kuwa wakweli wakati wa kutoa takwimu.
Kobero ni mpakani na watu wote wa nchi hizi mbili wanapaita kobero