CHADEMA Yatikisa Mwananyamala Hospitali

CHADEMA Yatikisa Mwananyamala Hospitali

Greenwhich

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
1,337
Reaction score
968
Chama cha Chadema leo kupitia mtandao wake maarufu Dar es Salaam ujulikanao kama CHADEMA FAMILY kimefanya tukio kubwa la kihistoria.

Chadema Family huku wakiwa na mavazi yao maalum wamefanya usafi katika hospitali ya mwananyamala na kutembelea wagonjwa.Pia watatoa zawadi mbalimbali kwa wagonjwa.

Mmoja wa Makamanda wa Chadema Family Ally Bananga amesema lengo kubwa la tukio la leo ni kuonyesha moyo wa upendo kwa wagonjwa na wahitaji.Kamanda Bananga ameendelea kusema kwamba alama ya rangi nyekundu kwenye bendera ya Chadema ina maana nyingi ukiwemo upendo kwa masikini,wagonjwa na wahitaji.

Chadema Family wameacha gumzo hapa Mwananyamala na wagonjwa mbalimbali wameonekana wakiwakimbilia Makamanda wa Chadema Family kuwauliza namna ya kujiunga na Chadema.

Mama mmoja mwenye tatizo la miguu ameonekana akiangua kilio alipowaona Chadema Family na kupaza sauti akisema '' Mungu wangu naona kama Nyerere amefufuka''.

Chini ni mavazi ya Chadema Family:
attachment.php

Hali Ilivyokuwa Mwananyamala Hospitali.

Daaah, huu ni upendo wa hali ya juu na kuwajali watanzania...

Kweli hiki chama kimebarikiwa na Mungu. Muendelee na Moyo huo huo wa kutujali watanzania na sisi tutawalipa fadhila kwa kuwapa kura nyingi sana 2015, ambazo hazichakachuliki kwa wingi wake.
 
Chama cha Chadema leo kupitia mtandao wake maarufu Dar es Salaam ujulikanao kama CHADEMA FAMILY kimefanya tukio kubwa la kihistoria.

Chadema Family huku wakiwa na mavazi yao maalum wamefanya usafi katika hospitali ya mwananyamala na kutembelea wagonjwa.Pia watatoa zawadi mbalimbali kwa wagonjwa.

Mmoja wa Makamanda wa Chadema Family Ally Bananga amesema lengo kubwa la tukio la leo ni kuonyesha moyo wa upendo kwa wagonjwa na wahitaji.Kamanda Bananga ameendelea kusema kwamba alama ya rangi nyekundu kwenye bendera ya Chadema ina maana nyingi ukiwemo upendo kwa masikini,wagonjwa na wahitaji.

Chadema Family wameacha gumzo hapa Mwananyamala na wagonjwa mbalimbali wameonekana wakiwakimbilia Makamanda wa Chadema Family kuwauliza namna ya kujiunga na Chadema.

Mama mmoja mwenye tatizo la miguu ameonekana akiangua kilio alipowaona Chadema Family na kupaza sauti akisema '' Mungu wangu naona kama Nyerere amefufuka''.
Hapa CHADEMA wamefanya jambo jema na la kuigwa.Kila mwenye akili na nia njema aige hili.Mungu awabariki wote waliohusika.Wote tuseme amina!

Hili linakonga moyo hasa kusikia likitokea kwa Bananga, Kijana ya Arusha aliyetutolea Milya kwenye magamba... Respect Bananga
 
Chadema, endeleeni tu na moyo wenu huo!!!
One day hata wanaowachukia watajua kuwa kweli ninyi mna roho safi!!
Yatabaki yenye hila tu!!
 
Hapa CHADEMA wamefanya jambo jema na la kuigwa.Kila mwenye akili na nia njema aige hili.Mungu awabariki wote waliohusika.Wote tuseme amina!

Ubarikiwe japo kwa leo!! Umeonyesha kujali utu badala ya chama,taratibu tu utaweza.
 
kesho sekretariate ya CCM nayo itatembelea hospital za ilala na temeke!!!Wazee wa ku copy na ku paste!!!
 
Nimefarijika sana,Nimefurahia mno,na daima ipo siku tutaishangaza dunia

''Pamoja we can'' change ni mimi na wewe
 
nice job Makamanda,Tunazidi kujitofautisha na Magamba,sisi tunaonyesha njia kwa wengine
 
Back
Top Bottom