CHADEMA yasitisha oparesheni M4C na kuitisha kikao cha Kamati Kuu

tendwa hana ubavu wa kukifuta CDM ila anachoweza ni kuendelea kuimba korasi za taarabu za CCm
 
Tungetaka kujua ratiba mpya ya M4C itaanza lini na mikoa ipi itahusika ili tujiandae kuandamana na ikibidi safari hii polisi tukabiliane nao uso kwa uso, kama mbaya acha iwe mbaya!
 
Natambua kuwa hapa si FB ule ni mtandao wa ullimwengu mzima si kama hapa JF kwa CDM. Lakini ukweli lazima tuwe tunausema. Tunajua wazi wewe ni mmoja wa wanaofaidi fedha za harambee wanazochangishwa walipa kodi wetu. Mnazitumia kupiga propaganda ambazo hazina maana yoyote, hebu jaribu kutembelea TANURU LA FIKRA kule FB ujionee hoja zinavyowasilishwa na kuchangiwa kwa uwazi. Kule FB SLAA, MBOWE na wngine wanachambuliwa kwa undani na na madudu yao kuwekwa hadaharani wakati huku JF ukimgusa SLAA unakula burn ya nguvu na naamini kwa mchango huu lazima leo nile burn , fuatilia baada ya dk 10 hutaniona tena nitakuwa nimeshakula kitanzi toka kwa MODs ambao nao wanakula za walipa kodi. Ukiona mtu anang'ang'ania humu JF ujue huyo anafanyia CDM, na mfano mzuri ni wewe ambaye hutaki kupanua uelewa wako na unabaki kunyoosha vidole juu kama unaimba taarabu.
Rudi shule bwana mdogo, kuna tofauti kubwa sana kati ya ban na burn.
 
wauwaji chadema kila wanapokwenda wanauwa walianza arusha moro na iringa chadema mtaiangamiza nchi leo mnaua mmoja kesho mtaua kumi operesheni m4c uwa watanzania chadema mtatumaliza. Mbona vyama vingine vikifanya maandamano hakuna anae kufa. Ajenda yenu ya siri ya kutumaliza tushaijua. Kwanini msifutwe kama chama chenu kina tishia uhai wawatanzania.
 
wauwaji chadema kila wanapokwenda wanauwa walianza arusha moro na iringa chadema mtaiangamiza nchi leo mnaua mmoja kesho mtaua kumi operesheni m4c uwa watanzania chadema mtatumaliza. Mbona vyama vingine vikifanya maandamano hakuna anae kufa. Ajenda yenu ya siri ya kutumaliza tushaijua. Kwanini msifutwe kama chama chenu kina tishia uhai wawatanzania.uhai muhimu
 
wauwaji chadema kila wanapokwenda wanauwa walianza arusha moro na iringa chadema mtaiangamiza nchi leo mnaua mmoja kesho mtaua kumi operesheni m4c uwa watanzania chadema mtatumaliza. Mbona vyama vingine vikifanya maandamano hakuna anae kufa. Ajenda yenu ya siri ya kutumaliza tushaijua. Kwanini msifutwe kama chama chenu kina tishia uhai wawatanzania.uhai muhimu..a
 
Back
Top Bottom