Mambo yakiwa hatua hiyo, ni vyema tumtegemee Bwana muweza yote awafungue nyoyo hawa mafisadi wasimtende chochote huyo mwanaharakati Kwa jina la aliyeumba mbingu na nchi WASHINDWE NA WALEGEEEEE AMEN
hatuko mbali sana na DRC. ccm wanadai chadema wanahubiri kumwaga damu, Dr Slaa aliwajibu kwa kuhubiri amani katika kampeni yake nzima lakini akasema ccm na serikali ndio wanaohatarisha amani. vizruri kuanza kutafakari mbinu na kauli za kampeni
Hii ni nuksi lakini mie sishangai udikiteta ulianza siku nyingi this time itakuwa mara mbili -ni bora tuanike uozo wote dr slaa come out man talk to us we are ready