CHADEMA yapotea kata ya Mianzini

Wa.pu.mba.vu wakubwa maccm....ngojeni tar 14 mtajua :target:
 
Kwa mwenye hekima na akili ni kilio shangaa kwa limbukeni ilivyo kicheko, ama kweli mtu mjinga hajui hatima ya maisha yake mpaka imemfika
 
Siku zote wana CDM hawataki kuambiwa UKWELI, habari ndiyo hiyo uchaguzi mdogo umeisha, CDM imepotea Mbagala! CDm ni chama cha msimu, wakati wa uchaguzi tu

Kazi ya kuchukua madaraka kwa kugawa pombe unadhani ni kupendwa au pombe zilipendwa?
 
Kata ya Mianzini...... We -------- kweli!!
2015 hamtatoboa nyie magaidi

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 

ngorongoro 600m?
 
nyie ni huko huko kaskazini bana sio huku kwa wajanja..

Yaan unatukuza ukanda alaf kisha unajiita mjanja, hv huu ni ujanja au uganga njaa, da ama kwel njaa mbaya, hv umesahau kuwa ccm ina majimbo ya yakutosha huko kaskazin, na pia unasahau kuwa huko unapopaita kwa wajanja chadema ina majimbo na madiwan wa kutosha., ushaur wng hata kama tunawai buku 7 ila tuwe tunajaribu angalau kupost kitu kinachoendana na ukweli.
 
Hawa hawajawahi kushinda kihalali popote kwani hata sehemu wanayokubalika hutoa rushwa ambayo imekuwa ni desturi yao.
 
Wakati tuna rais anayelindwa na mashetani ya Kiongozi wa dini fulani anaitwa marehemu shehe Yahya

mkienda kwenye kampeni mnawatumia viongozi wa makanisa badala ya viongozi wa machadema kwann?
 
Ccm bila rushwa,vitisho na mauaji siasa haiendi!

mbona unaongea kinyume nyume? Nyie ndio mnatembea na sumu hadi bar mlishe watu, mnapanga mipango haramu ya kina lwakatare mlishe watu sumu, mnauwa watu kwa tindikali, mnajilipua kwa mabomu na mnajigawia ruzuku ya chama hadi mamilioni ya shilingi mnatishia watu eti nchi haitatawalika, kaskazini itajitenga.. au mkuu ulikuwa unaota?
 
CDM ina kazi kubwa kuwafanya wananchi wa Tanzania kujitambua, lakini hilo sio la ajabu hata wakati wa ukoloni walikuwepo
wale ambao waliotumiwa na mfumo kupinga mabadiliko. Lakini mabadiliko yalikuja, na uhuru ukapatikana. Uhuru wa kweli utapatikana tz. Muda wa kuelimisha bado upo. Watanzania wakiwemo wa Mianzini, tuamke. Tukatae makombo ambayo tunapewa na hawa mafisadi.
 
Tarehe 14.07.2013 siyo mbali, adhabu yenu toka kwa wananchi.
a
unakumbuka huyo diwani alipita kwa kura ngapi?maana idadi ya wapiga kura haikufika hata robo ya waliopashwa kupiga kura lakini kiama kinakaribia ccm
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…