Maneno haya hayajaanza leo. Vyama vya msimu lakini vinawajambisha!!!Siku zote wana CDM hawataki kuambiwa UKWELI, habari ndiyo hiyo uchaguzi mdogo umeisha, CDM imepotea Mbagala! CDm ni chama cha msimu, wakati wa uchaguzi tu
Siku zote wana CDM hawataki kuambiwa UKWELI, habari ndiyo hiyo uchaguzi mdogo umeisha, CDM imepotea Mbagala! CDm ni chama cha msimu, wakati wa uchaguzi tu
peleka lumuba taarifa hizi upate buk 7 zako za week end
Uhai wa chama sio bendera. Chama kiko rohoni mwa watu. Huyo mmiliki wa Kakonko CCM imemfanyia mizengwe ya kumfungia biashara yake, akaamua kufunika kombe ili mwanaharamu apite. Wengi ndani ya CCM urafiki wao ni wa mashaka.
Mfano mzuri ni huu. Mianzini CCM ina wajumbe zaidi 980 bila kuhusisha familia zao, imekuwaje mkapata kura 1000 na wakati kila mjumbe alipewa Tzs 50, 000? Mbaya zaidi kila kura ya Mianzini mliyoipata thamani yake si chini ya Tzs 20, 000. Kumbuka kila mbunge wa CCM Dar amechanga milioni 3 na Mbwana kaweka rehani baa yake kwa Kisuma.
Katika tathmini ya CCM mmekubaliana kufungua akaunti ya uchaguzi kwa kila mtaa kwa ajili ya ucgaguzi wa serikali za mitaa mwaka kesho. Mmekubali kabisa kuwa uchaguzi wa Mianzini haukuwa mzuri kwenu na kwamba kama mgombea wa CUF angekuwa CHADEMA msingeshinda kata hiyo. Bahati nzuri mazungumzo yenu niliyanasa na ukibisha nitayaweka wazi mtandaoni.
na wewe buku ngapi unalipwa?[/QUO
Mimi sina njaa kama za kwenu nyinyi magamba! Nataka kuwaona magamba mnaangukia pua kila wakati ndio malipo yangu makubwa hayo na si buk 7 kama wewe kila kukicha unawaza hilo
Hizo ni porojo za kushindwa uchaguzi; tatizo kubwa chama chenu mlimweka mtu asiyeuzika na mamluki toka wilaya ya Kinondoni pia shughuli za kampeni ziliratibiwa na ofisi ya makao makuu huku ofisi ya wilaya TMk wakiwa watazamaji. Siku moja kabla ya uchaguzi, viongozi wa M4C wakiwa na gari lao walilewa sana ZACKEEM PUB badala ya kufanya kampeni
Katika kile kinachoashiria anguko la kisiasa mkoani DSM, CHADEMA kimejikuta kikipoteza wafuasi, wanachama na wafadhili ndani ya kata ya Mianzini ambako waliambulia kura chache katika uchaguzi mdogo wa udiwani, uliohitimishwa kwa mgombea wa CCM, Mheshimiwa Mbwana kuibuka kidedea. Pigo takatifu kwa CHADEMA limeambatana na kufungwa kwa tawi la chama lililokuwa eneo la KAKONKO bar Majimatitu; Wiki mbili zilizopita bango la utambulisho wa ofisi ya chama lilionyesha OFISI YA CHADEMA kata ya Mianzini, hivi leo limebadilika na kuwa OFISI YA CCM tawi la Maji Matitu, POLENI akina Mwita &CO; CCM yasonga mbele kwa kasi kubwa huku CHADEMA ikirudi nyuma kwa kasi ya ajabu
Lumumba mali yako KALE HAKI YAKO BUKU KADHAA!!!
Lumumba mali yako KALE HAKI YAKO BUKU KADHAA!!!