GE2025 CHADEMA yapinga ongezeko idadi ya wapiga kura

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,779
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kupitia kwa Mkurugenzi wake wa Oganaizesheni, Mafunzo na Uchaguzi Mwl. John Pambalu kimeipinga taarifa ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) inayoonyesha ongezeko la idadi ya wapiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge, Madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.

Nikikumbuka kipindi kile tulichoambiwa tukienda kupiga kula tuwe na pen zetu coz tukitumia peni zao kwa upande wa upinzani kula zinafutika..
basi kwenye foleni ya kupiga kula kila mtu utakuta kashika peni yake..
Naikitokea mtu kakuomba pen ili akapigie kula ni lazima humpe coz unajua huyu ni mwenzangu..
Sasa watu hao ambao walikuwa wanaenda na pen zao na ndo hao ambao wameamuwa kuto enda kupiga kula coz kula zao haziendi kwa wausika..
Hapo ndo naona ni jinsi gani vituo vya kupigia kula vitakosa wapiga kula..
 
Kula❎. Kura✅
 
Back
Top Bottom