Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 11,517
- 8,453
Ni kama ule wa Mzee Hashimu Rungwe! Ahahahahahah!Upinzani imara ukoje?
Amandla...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kama ule wa Mzee Hashimu Rungwe! Ahahahahahah!Upinzani imara ukoje?
Amandla...
Na haijawahi kutokea mtu akawa na njaa na akawa na uwezo was kufikiri vizuri. Ebu chukulia mfano BAWACHA wanavyowakomalia akina Mdee watoke Bungeni wakati sio wanachama wao. Unafikiri ni nini kama sio njaa!! Ahahahahahahah!!!!Njaa hufisha na kuondoa hekima na busara
Ni takataka gani hiyo? Akafie mbali huko
Huyu atapewa uwaziri na kumwamrisha Bashiru we vuta subira utaona jinsi chadema ina watu wenye akili. Huko ccm mmejaa mabumunda lazima mchukue wenye akili ambao wako chadema