CHADEMA yapata pigo, Chage Alex Chage ajiunga CCM

Ndiyo nani huyo? Mwambieni aunge juhudi za moja kwa moja kwenda kuwa mpambe wa Jiwe kwenye kampeni za kuwania ukuu wa malaika. Mwenzenu kule anasafa analalamika mumeishia njiani kuunga mkono juhudi. Siyo poa mjue!
MATAGA na sukuma gang wameishia tu kulinda kaburi
 
Hivi nyie mabumunda ya ccm mnadhani nchi isipokuwa na upinzani imara,mambo yataenda?
Hawana akili hao ndiyo maana wengi wao ni masikini wa kutupwa .
Akishapewa t-shirt ya kijani tu basi anajiona yeye ndiyo billionea.
 
Back
Top Bottom