CHADEMA yapata pigo, Chage Alex Chage ajiunga CCM

Ndiyo nani huyo? Mwambieni aunge juhudi za moja kwa moja kwenda kuwa mpambe wa Jiwe kwenye kampeni za kuwania ukuu wa malaika. Mwenzenu kule anasafa analalamika mumeishia njiani kuunga mkono juhudi. Siyo poa mjue!
Tuliza mshono we kibaraka wa Mbowe, Chadema inapukutika kama mahindi yanapukuchuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…