CHADEMA ilikuwepo kabla ya JF, itadumu mileleKufika 2025 hakuna Chadema. Itabaki JF tu!
GOOD FOR YOU ,THENKufika 2025 hakuna Chadema. Itabaki JF tu
Ndiyo nani huyo? Mwambieni aunge juhudi za moja kwa moja kwenda kuwa mpambe wa Jiwe kwenye kampeni za kuwania ukuu wa malaika. Mwenzenu kule anasafa analalamika mumeishia njiani kuunga mkono juhudi. Siyo poa mjue!
Huyu hana bei, maana ndiyo kauli zenu!Yote haya ila mkisikia time huru matumbo yanachafuka na kwahiyo msalani.
Tuliza mshono we kibaraka wa Mbowe, Chadema inapukutika kama mahindi yanapukuchuliwa.Ndiyo nani huyo? Mwambieni aunge juhudi za moja kwa moja kwenda kuwa mpambe wa Jiwe kwenye kampeni za kuwania ukuu wa malaika. Mwenzenu kule anasafa analalamika mumeishia njiani kuunga mkono juhudi. Siyo poa mjue!
Kufika 2025 hakuna Chadema. Itabaki JF tu!
Hivi nyie mabumunda ya ccm mnadhani nchi isipokuwa na upinzani imara,mambo yataenda?Kufika 2025 hakuna Chadema. Itabaki JF tu!
Covid 19Nawapongeza sana wale19
Covid 19