tena vijijini ccm ikifa haitaweza kurudi ! Mimi nimefanya yangu kyela , tena kwa mafanikio makubwa ! Japo kuna mtu alikurupa kwenda kugawa bodaboda .
Baada ya kumaliza kadigrii kangu Mtwara sasa niko kijijin Itumbiko wilaya mpya Kakonko-Kigoma na ninafanya kazi ya kuongeza wanachama wa CHADEMA kama ifuatatavyo;
1. Kutembelea nyumba hadi nyumba na kijiji hadi kijiji kueleza ubaya wa CCM, reference Mtwara
2. Kuanzisha ligi ya mpira wa miguu sh.50000 itaanza August mwishoni
3.Kutafuta support ya vijana kwenda hospitalini kufanya usafi
4. kubadilishana mawazo na wanabodaboda na vijiwe vya kahawa about CHADEMA NAMNA YA KUFANIKISHA HAYA.
Nitatumia 20% ka salary Kabla sijaenda kazini mwezi wa 12 b'se kalikizo kangu kanaisha mwezi wa 11
USHAURI KWA MAKAMANDA
Kwa wale ambao tumetoka vyuoni tujitahidi kwenda vijijini kuhamasisha, silazima iwe mikutano tu b'se wazee wengi hawahudhurii mikutano.
OMBI
Makamanda tembeleeni mkoa wa kigoma b'se ni miaka mingi hamji huku kwani hapa mudi ya watu ni zaidi ya Arusha .
Mungu ibariki Tanzania.
Naomba kuwasilisha.

Kyela bwana wale watu wa mwaja hawaitaji kupigwa jeki kubwa wakiamua wameamua hongera
Ni sawa lakini sio cdm ihamie kigoma kisa wana kiu ya mabadiliko.mabadiliko ni kwa tz nzima na visiwani
Mkuuu niambie lini nije nikupe sapoti apo kyela mi nipo tiyari
Siyo TUSKER bana, sema KINANA bariiiiiiiiiidihalafu jioni tunakutana paleeee msimbazi center kupata KITIMOTO ROAST NA NDIZI KADHAA HUKU TUKISUKUMIA NA TUSKER BARIIIIIIIIIIIIIIIIIDDD
kwanza hiyo bendera hapo ilipo nahisi ni UCHAGANI!!
halafu wenzako wataishia kukupa moyo na hongera kwa matembezi, wao wanasaka ugali wa watoto na mademu wao halafu jioni tunakutana paleeee msimbazi center kupata KITIMOTO ROAST NA NDIZI KADHAA HUKU TUKISUKUMIA NA TUSKER BARIIIIIIIIIIIIIIIIIDDD